Eti wamenichunia

Eti wamenichunia

Unaweza ukakuta hata hawana habari na mambo yako
 
Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na kushirikiana mambo ya kazi!!! Sasa sielewi sababu ya wao kuumia maskini... Mmoja nimeshawahi kumpa lift mara moja akienda kukutana na men wake! Tena nikampeleka hadi hoteli walimokutania!!
Sasa siwaelewi kwa nn wanichunie!!!
JF kila mtu ana GARI...
JF kila mtu ana KAZI NZURI...

#YNWA
 
Achana nao,fanya mambo yako. Kila mtu anamaisha yake nje ya ofisi, wasikuumize kichwa.
 
Hongera kwa kupata mchumba.
Hawajakuchunia bali hawataki kuzoeana sana na mchumba wa mtu.
 
sasa wanakusumbua nini?
acha wachune tena umpeleke na bebe wako kazn ukamtambulishe kabsa mbele yao
Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na kushirikiana mambo ya kazi!!! Sasa sielewi sababu ya wao kuumia maskini... Mmoja nimeshawahi kumpa lift mara moja akienda kukutana na men wake! Tena nikampeleka hadi hoteli walimokutania!!
Sasa siwaelewi kwa nn wanichunie!!!
 
Kama jambo dogo kama hili unaliweka kichuani na kulileta huku nina mashaka kama utakuwa tayari kiakili na kimwili kukabiliana na changamoto ktk maisha hasa ya ndoa.
Kuwa mwanaume wakikausha wewe unakausha mara mbili na unafuata mambo yako sio ya watu.
 
Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na kushirikiana mambo ya kazi!!! Sasa sielewi sababu ya wao kuumia maskini... Mmoja nimeshawahi kumpa lift mara moja akienda kukutana na men wake! Tena nikampeleka hadi hoteli walimokutania!!
Sasa siwaelewi kwa nn wanichunie!!!
Jiulize
 
Hao walikuwa wanakupenda sasa umewasuprise🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom