Eti wamenichunia

Moja Kati ya kitu ambacho sikipendi Ni kujipendekeza kwa mtu!! Mkuu usiwaze kuhusu wao fanya kilichokupeleka we fanya Mambo yako hizo habari zao temana nao Tena unafanya kosa kuwauliza!,be cool stay cool.
 
Acha kujishuku,wewe nani kwao mpaka wakuchunie?usikute hawana hata time ila wewe mwanaume mzima ndio unatafuta sababu..poor you
 
Acha ujinga wewe hao hawajakununia ila wanatikisa kiberiti wakuangalia je bado unawajali baada ya kufanya engagement we cha kufanya ukikutana nao jichekeshe tu utawala wote hao
 
Jipendekeze tu kazi ziende hakuna namna
 
We mchumba wa mtu una deal na hao wengine kivip?mind your business mkuu.ushauri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…