Eti wamenichunia

Unaweza ukakuta hata hawana habari na mambo yako
 
JF kila mtu ana GARI...
JF kila mtu ana KAZI NZURI...

#YNWA
 
Achana nao,fanya mambo yako. Kila mtu anamaisha yake nje ya ofisi, wasikuumize kichwa.
 
Hongera kwa kupata mchumba.
Hawajakuchunia bali hawataki kuzoeana sana na mchumba wa mtu.
 
sasa wanakusumbua nini?
acha wachune tena umpeleke na bebe wako kazn ukamtambulishe kabsa mbele yao
 
Kama jambo dogo kama hili unaliweka kichuani na kulileta huku nina mashaka kama utakuwa tayari kiakili na kimwili kukabiliana na changamoto ktk maisha hasa ya ndoa.
Kuwa mwanaume wakikausha wewe unakausha mara mbili na unafuata mambo yako sio ya watu.
 
Jiulize
 
Hao walikuwa wanakupenda sasa umewasuprise🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…