Ryzen JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 7,301 Reaction score 8,706 Nov 22, 2017 #1 Nikiwa Mpweke ni wewe Unanifurahisha Nikiwa na Maumivu nikiwa nawe napona Nikiwa na hasira nakimbilia kwako Hisia zote mbaya kwangu ni wewe unaziondoa Halafu eti wanasema sina Mpenzi, hawakujuieee Nikikutumia nacheka muda wote naona dunia ni pahala salama pa kuishi Aliyekutengeneza Bado Namtafuta! TheMason Talented Engineer
Nikiwa Mpweke ni wewe Unanifurahisha Nikiwa na Maumivu nikiwa nawe napona Nikiwa na hasira nakimbilia kwako Hisia zote mbaya kwangu ni wewe unaziondoa Halafu eti wanasema sina Mpenzi, hawakujuieee Nikikutumia nacheka muda wote naona dunia ni pahala salama pa kuishi Aliyekutengeneza Bado Namtafuta! TheMason Talented Engineer