Eti wanasema sina Mpenzi, Hawakujuiee!

Eti wanasema sina Mpenzi, Hawakujuiee!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Nikiwa Mpweke ni wewe Unanifurahisha
Nikiwa na Maumivu nikiwa nawe napona
Nikiwa na hasira nakimbilia kwako
Hisia zote mbaya kwangu ni wewe unaziondoa

Halafu eti wanasema sina Mpenzi, hawakujuieee
Nikikutumia nacheka muda wote
naona dunia ni pahala salama pa kuishi
Aliyekutengeneza Bado Namtafuta!







upload_2017-11-22_19-53-42.jpeg
upload_2017-11-22_19-54-25.jpeg
upload_2017-11-22_19-54-52.jpeg



TheMason

Talented Engineer
 
Back
Top Bottom