Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Mhhh,
Naomba ukipata muda unistue tuongee chemba kuhusu hayo mambo!!
sema kipenzi changu....nina muda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhhh,
Naomba ukipata muda unistue tuongee chemba kuhusu hayo mambo!!
naomba kuwasilisha hoja ,umeshawahi kukutana na ushauri kama huu,
Mwanaume si mwenzio kama unauwezo wa kujenga jenga kwa siri hata kwenu au popote ,weka kitega uchumi chochote u neva no kesho inakuwaje ? nini mtizamo wako ?
sema kipenzi changu....nina muda.
Nitakukamata tu, we subiri....
Ukiamua ila hicho kibarua unajipa cha nini?
Mtazamo wangu ni kua nakubaliana na hio kauli LAKINI sina maana kwamba ni right. wanandoa wametofautiana wanavyo ishi, mi nimeolewa but na mwanaume ambae (God Bless him) ananishirikisha katika mambo na maamuzi yake yote - I feel loved and appreciated by this wonderful man of mine hivyo siwezi kamwe kufanya kitu kama hicho kwake. BUT angekua kimbembe, anijali, anishirikishi, tuna mali kama nyumba, magari, vitega uchumi ambavyo vyote navifaham kwa macho wala hataki kunionesha hati wala kunishirikisha kwa kuandika majina yetu woote THEN definately nitajenga nitakua na vitega uchumi wala hata asivijue!
Vitu kama hivyo hupanii, with patience kila kitu happens with the flow,,
sasa hapa ishu yako wewe ni kushirikishwa tu au una mchango ndani yake?(kifedha) coz kama ni kushirikishwa tunashirikishwa c kujulishwa tu kwamba mama nafanya hiki na kile atakapokwama ndio una m support? au cjakupata vzr...mie nashirikishwa, najenga/anajenga mahali anapoona panamfaa kibznec/kuishi, ushauri wangu ukiwa kipaumbele.
Sio wote ambao wanafanya kazi. Wengi wa wanawake ni full time house wife, taking care of the kids, kutengeneza nyumba kua home, kuuguza wakwe yaaani hamna kitu anafanya kwa ajili yake (mwanamke); time yake yoote ni kwa ajili ya familia yake - naomba niambia hata asiposhirikishwa huyo atakua na lake incase of emergencies kama maybe the husband anafariki?
God Forbid
Mbona hiyo patience ina limits au wewe ni malaika kwamba hata jamaa likufanyie vituko gani wewe utaendelea kusubiri tu?
Sio wote ambao wanafanya kazi. Wengi wa wanawake ni full time house wife, taking care of the kids, kutengeneza nyumba kua home, kuuguza wakwe yaaani hamna kitu anafanya kwa ajili yake (mwanamke); time yake yoote ni kwa ajili ya familia yake - naomba niambia hata asiposhirikishwa huyo atakua na lake incase of emergencies kama maybe the husband anafariki?
naomba kuwasilisha hoja ,umeshawahi kukutana na ushauri kama huu,
Mwanaume si mwenzio kama unauwezo wa kujenga jenga kwa siri hata kwenu au popote ,weka kitega uchumi chochote u neva no kesho inakuwaje ? nini mtizamo wako ?
Duuuuhhhh, Asha D,
Unafahamu sheria ya ndoa inasemaje kuhusu mali za ndoa (matrimonial properties)? Huyo ana 50% ya kila kitu kinachomilikiwa kwenye ndoa yao ili mradi yeye na mume wake hawakula kiapo kisheria kwamba kuna mali si ya ndoa.
Laiti wanawake wangejua kuwa kuwa mama wa nyumbani nayo ni kazi tena inalipa saaana basi wangeutumia vizuri muda wao badala ya kujiona kama wako nje ya treni inayoenda kasi!
...dunia ya sasa kweli akili kichwani. Mume/mke asipokutenda kwenye mali mlizochuma pamoja, wanandugu wenye mioyo midogo watakusumbua mmoja wenu atapofariki.
Ipo siku mimi na Ex- wangu (baada ya fungate) tulikalishwa chini na mama wa mkwe wangu (bibi.) Huyo Bibi ni msomi tu, anazijua sana sheria. Akaniambia, ni lazima mimi na my wife wangu tukaorodhesha zipi ni mali zangu, na zipi mali za mywife wangu.
Nilibaki nawashangaa, ingawa sasa nimeelewa kwanini alisema vile.
Hayo mambo yapo tu katika makaratasi, niko katika hiyo sector naona mifano hai. wanawake wanatia huruma mno, wengi hawajasoma - cases ambazo hazijafika katika vyombo vya sheria ziko kibao, na ninapozungumzia hilo suala nazungumzia the majority Tanzanian widows, mambo yote yapo wazi but bado hapati haki zake. Achana na widows hawa wa mjini wana support kibao and they know their rights. Hivi unafikiri cause sheria zipo basi zinafuatwa- believe me ni contrary hasa katika hio delicate matter.[/QUOTE
Asha mwanamke asiye na uwezo wa kufight kisheria basi hata uwezo wa kuwa na mali binafsi atakuwa hana. Maana ni wale ma house wife. Kwa hiyo hapo hata solution ya kuwa na vyake kwake aiwork