FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
-
- #81
Ndoa haziwezi kudumu kwa sababu asilmia kubwa ya wanandoa wa kisasa mali ni first priority! Yaani kuna mtu alinishangaa kwa nini napitisha mshahara wangu kwenye joint account yangu na mume wangu wakati huyo mdada ni mke wa mtu tena ni mlokole. Yani alinisihi kabisa nifikirie kwanza kwani yeye ndo alikuwa cashier wetu. Nilimshangaa sana. Well hapo ndo nilikuwa nimeolewa now it is 9 years bado sijaona ubaya wa kushare account na mume wangu. Mentality tulonazo ndio zinazoharibu ndoa zetu.
wewe Asha, jitahidi kuwa na uvumilivu tu kwenye ndoa,usijali,
mungu yu pamoja nawe
uvumilivu gani? uvumilivu mwingine una mwisho:A S 39:
ndoa za cku hizi ni za kuoteana sana, atakaemuotea mwenzie twende, kuaminiana/kushirikianao kwa uaminifu kumepotea kabisa, ndoa za cku hizi unatakiwa uwe na akili za ziada kabisa.
[/COLOR]
SAMAHANI NYAMAYAO,
UNAMAANISHA NINI?,
SIJAKUELEWA, akili za ziada zipi?, kivipi?.
bila samahani...akili za ziada za kusoma alama za nyakati, may b ndoa zenu ziwe zile zilizobarikiwa kutokuwa na hitilafu, kwa sie tulioona hitilafu kidogo japo tulirekebisha but nilizidi kufunguka na kujua ninatakiwa kutumia akili ya zaida huko mbele tuendako..nyumba kubwa amezungumzia joint acc na mr wake na hajaona tatizo lolote 9 yrs sasa, kwa mie cdhubutu kabisa wala ctakaa niwe na hilo wazo la joint acc, kwa sababu zangu binafc.... kila ndoa ina formula yake.
Asante kwa kunielewesha,
na nakubaliana na wewe kuwa,
sometimes matatizo licha ya kutuumiza,lakin
nadhani yanakuwa yanaongeza uwezo wa kufikiri ubongo wetu.
Hilo la JOINT AC ameliona halina tatizo ksb amepata Mume mwelewa ,
lakin pia azidi kuomba MUNGU huyo Mume asije kubadilika na kuuvua ubinadamu,
kwani ataujutia huo uamuzi wa kupitisha mshahara wake kwa mumewe.
UMALAIKA NA USHETANI zote ni tabia za binadamu ni jambo la kuamua tu kuwa,
utumie tabia ipi.
bila samahani...akili za ziada za kusoma alama za nyakati, may b ndoa zenu ziwe zile zilizobarikiwa kutokuwa na hitilafu, kwa sie tulioona hitilafu kidogo japo tulirekebisha but nilizidi kufunguka na kujua ninatakiwa kutumia akili ya zaida huko mbele tuendako..nyumba kubwa amezungumzia joint acc na mr wake na hajaona tatizo lolote 9 yrs sasa, kwa mie cdhubutu kabisa wala ctakaa niwe na hilo wazo la joint acc, kwa sababu zangu binafc.... kila ndoa ina formula yake.
Ndoa haziwezi kudumu kwa sababu asilmia kubwa ya wanandoa wa kisasa mali ni first priority! Yaani kuna mtu alinishangaa kwa nini napitisha mshahara wangu kwenye joint account yangu na mume wangu wakati huyo mdada ni mke wa mtu tena ni mlokole. Yani alinisihi kabisa nifikirie kwanza kwani yeye ndo alikuwa cashier wetu. Nilimshangaa sana. Well hapo ndo nilikuwa nimeolewa now it is 9 years bado sijaona ubaya wa kushare account na mume wangu. Mentality tulonazo ndio zinazoharibu ndoa zetu.
hapo sijawahi hata kufikilia jambo hilo
umesema vema....azdi kumweka mume wake kwenye maombi sana sana.....
bila samahani...akili za ziada za kusoma alama za nyakati, may b ndoa zenu ziwe zile zilizobarikiwa kutokuwa na hitilafu, kwa sie tulioona hitilafu kidogo japo tulirekebisha but nilizidi kufunguka na kujua ninatakiwa kutumia akili ya zaida huko mbele tuendako..nyumba kubwa amezungumzia joint acc na mr wake na hajaona tatizo lolote 9 yrs sasa, kwa mie cdhubutu kabisa wala ctakaa niwe na hilo wazo la joint acc, kwa sababu zangu binafc.... kila ndoa ina formula yake.
Ndio maana makabila mengine wanawaibia pesa badae wanastukia wake zao wana magorofa kwao sababu ya hii hii kuogopa yasimkute.
Acha woga wa hapo kwenye red,,,lol
hapana daima...may b yeye apitishe kwenye yangu, mie nikipitisha kwake itaanza ku2letea migogoro ndani ya nyumba, tena icyoisha....bado cjawa na imani hiyo aisee..
ha ha ha ha hiyo red nimeipenda......
ok naheshimu msimamo wako.
kwa aliepitia misuko suko ya kuchitiwa atakubaliana na mie kwenye huo mcmamo, ya nn malumbano bwana?[/QUOTE]
ha ha ha haha ya nini maneno??,,,
Sawa , bora kuepusha msongamano wa AC....lol
Sasa atafanyaje mwanamke, labda hapo kaangalia mke mwenzake kafiwa na mume mali zikachukuliwa na ndugu, au mume yupo busy anamjengea hawara nyumba hapo hata mimi najenga kisiri akija jua namwambia ni kwa sababu gani nimefanya vile.ha ha ha ila mme akigundua kizaazaaa na ndoa inaweza kuvunjika
Sasa atafanyaje mwanamke, labda hapo kaangalia mke mwenzake kafiwa na mume mali zikachukuliwa na ndugu, au mume yupo busy anamjengea hawara nyumba hapo hata mimi najenga kisiri akija jua namwambia ni kwa sababu gani nimefanya vile.