comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Kuna ka ukweli, Dar kutoa over 1.5 tunatoa wachache sana ,
Vichwa vya vijana wa Dar vipo vinawaza utajiri na mikeka hata hiyo hamu ya kutoa over 0.5 ni kisanga.
Kiukweli mechi za mikoani kutoa over ya 2.5 kawaida sanaaa.
Sasa sijui shida labda ni ya wanawake wa dar hawaonyeshi ushirikiano wanawaza vikoba na kausha damu.
Au za Dar tofauti na za mkoani
Au hali ya hewa