Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Sana tu kaka! Tuliokulia vijijini hii ni kawaida. Lakini pia mdada ambaye anaona kila mwanaume ana kibamia, ajitazame mwenyewe na yeye manake tatizo linaweza kuwa yeye, kuna midemu hata uwe na kijimguu cha tatu bado linaweza likawa linapitia uwazi wakati mwanaume unashughulika, kama una pango dada, kila mwanaume atakua kibamia tu.Hahaha nimecheka sana dah. Hivi kaka ulishawahi kufanya hako ka simple observation nini?