kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Walimuita Magufuli mshamba kwa maana wao wajanja. Ujanja wenyewe kupiga dili kuhujumu maendeleo ya nchi.
Awamu ya nne tuliambiwa gesi ndio itatatua tatizo la umeme. Tukaacha kwanza mpango wa kuiuza nje tuzalishe umeme kinyerezi. Mabomba yakalazwa urefu wa kilomita elfu na zaidi. Sasa tayari ziko mashine za kuzalisha umeme hadi kinyerezi nne.
Akifungua kinyerezi no 4 Magufuli alitania kwa ule muziki wa majenereta na kusema hali hiyo kwa uhakika haitatokea tena.
Wale fisadi waliyokua wanafungulia maji mtera ili mabwana zao wauze jenereta kwa hakika hawakua na furaha.
Huku tukijua umeme wetu kiasi karibu chote ni cha gesi hivi leo gesi ipo ila tunasumbuliwa na wahuni wale wenzi wa wauza majeneteta. Tena wako wanaongoza wizara. Ni wale aliwatema jpm.
Wale wajanja au wahuni sasa wameshika usukani.
Hakika pamoja na ukame mwamba tungekua naye tusingeteseka kwa maji au umeme. Yeye alikua mchapa kazi na mpenzi wa umma. Angeviona visima chungu mzima vilivyokua vimechimbwa zamani enzi ya Mkapa na kuvifufua. Hata umeme huu unaokatwakatwa ili wafanyabiashara hawa wahindi wauze majenereta ungekua tulivu tu. Wahuni wangekua wamefyata mikia yao kwa kuendelea.