Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Nani aliwaibia kura? Sisi raia tuliowengi tulimchagua Magufuli.Wacha kumtukuza mtu ambaye Mungu kamkataa. Magufuli aliiba kura za 2020 ili awe Rais wa milele. Magufuli aliitwa mungu na wajinga akina Kabudi na Kangi Lugola naye akaamini kuwa ni mungu kweli. Ila cha moto akakipata tarehe 17/ 03/ 21.
Bado musukule yake inaamini kuwa kwenye ukame huu eti maji yasingekuwa shida. Pumbavu zenu
Wajinga sanaNani aliwaibia kura? Sisi raia tuliowengi tulimchagua Magufuli.
Yaani umsimamishe Magu na Lissu af utegemee matokeo tofauti ya yaliyotokea are you serious?
Magufuli alikataliwa na wezi na matapeli ambao ni wachache Ila wenye nguvu kiuchumi. Ila raia wakawaida tuliowengi tulimkubali na kumchagua. Mtu uliemchagua wewe asipopita ndio kaibiwa kura?
Mawakala wa ANAUPIGA MWINGI mnampoteza Mama, hata km kawaruhusu kula kwa urefu wa kamba msijisahau sana manake mnawaza kwakutumia matumbo tu ubongo mmeachana nao kabisa. Nchi mnaipeleka shimoni hii.
Hakuna Amani kwenye njaa
Pia hakuna Amani pasipo haki
Kero kila siku zinaongezeka huku kukiwa hakuna dalili yakutatua hata moja.
Umewahi ona wapi Rais aliyepo madarakani Afrika anakufa kwa ugonjwa? Zaidi ya Sankara na Murtala Mohamed waliopigwa risasi?Ndugu zako wote waliokufa Mungu kawakataa Ilawewe uliehai ndio Mungu kakukubali?
Pongezi sana kwakukubalika kiongoz
Yana mwisho na yatalipwa hapa hapa.
Ni kwamba wew ni mweupe mno ichwani huna kitu unaongelea vitu ambavyo huvijui kifo siyo cha kuzungumzia kama unavyokizungumziaUmewahi ona wapi Rais aliyepo madarakani Afrika anakufa kwa ugonjwa? Zaidi ya Sankara na Murtala Mohamed waliopigwa risasi?
Unamdanganya nani ? Kadanganye wajinga wenzio ama wanao kama unao. Magufuli asingeweza kumshinda Lissu. Hao unao sema raia walipiga kura kumchagua siyo kweli Bali kura zilipigwa na maofisa wa TISS ambao waliweka Kambi Mbweni kisha kura zikagawiwa kwa DSOs wa kila wilaya. Pengine wewe ulikuwa Burundi lakini 2020 hakukuwa na uchaguzi kabisa Bali kilikuwa uchafuziNani aliwaibia kura? Sisi raia tuliowengi tulimchagua Magufuli.
Yaani umsimamishe Magu na Lissu af utegemee matokeo tofauti ya yaliyotokea are you serious?
Magufuli alikataliwa na wezi na matapeli ambao ni wachache Ila wenye nguvu kiuchumi. Ila raia wakawaida tuliowengi tulimkubali na kumchagua. Mtu uliemchagua wewe asipopita ndio kaibiwa kura?
Mawakala wa ANAUPIGA MWINGI mnampoteza Mama, hata km kawaruhusu kula kwa urefu wa kamba msijisahau sana manake mnawaza kwakutumia matumbo tu ubongo mmeachana nao kabisa. Nchi mnaipeleka shimoni hii.
Hakuna Amani kwenye njaa
Pia hakuna Amani pasipo haki
Kero kila siku zinaongezeka huku kukiwa hakuna dalili yakutatua hata moja.
Usingizia watu Mambo ya hovyo Sana kaburu wewUnamdanganya nani ? Kadanganye wajinga wenzio ama wanao kama unao. Magufuli asingeweza kumshinda Lissu. Hao unao sema raia walipiga kura kumchagua siyo kweli Bali kura zilipigwa na maofisa wa TISS ambao waliweka Kambi Mbweni kisha kura zikagawiwa kwa DSOs wa kila wilaya. Pengine wewe ulikuwa Burundi lakini 2020 hakukuwa na uchaguzi kabisa Bali kilikuwa uchafuzi
Yule pimbi mnahangaika kumtetea ila Magufuli alijisahau akajifanya mungu kama akina misukule yake ilivyokuwa inanmuita. Madaraka yalimulevya akajipa mamlaka ya nani awe tajiri na nani awe hai. Ila Mungu kamuonyesha KAZI pamoja na kulindwa na mitambo ya kisasa, na askari wa Rwanda, helicopter nankuzungukwa na madaktari bingwaNi kwamba wew ni mweupe mno ichwani huna kitu unaongelea vitu ambavyo huvijui kifo siyo cha kuzungumzia kama unavyokizungumzia
Magufuli alikuwa mtu wa haki ndiyo mtaani mpk Leo watu wanamlilia Yule alikuwa mpango wa Mungu kadiri siku zinavyokwenda baada ya kifo chake watu ndiyo wanazidi kumpendaYUl
Yule pimbi mnahangaika kumtetea ila Magufuli alijisahau akajifanya mungu kama akina misukule yake ilivyokuwa inanmuita. Madaraka yalimulevya akajipa mamlaka ya nani awe tajiri na nani awe hai. Ila Mungu kamuonyesha KAZI pamoja na kulindwa na mitambo ya kisasa, na askari wa Rwanda, helicopter nankuzungukwa na madaktari bingwa
Imeandikwa kila nafsi itaonja mauti.Wacha kumtukuza mtu ambaye Mungu kamkataa. Magufuli aliiba kura za 2020 ili awe Rais wa milele. Magufuli aliitwa mungu na wajinga akina Kabudi na Kangi Lugola naye akaamini kuwa ni mungu kweli. Ila cha moto akakipata tarehe 17/ 03/ 21.
Bado musukule yake inaamini kuwa kwenye ukame huu eti maji yasingekuwa shida. Pumbavu zenu
Waswahili walisema 'ukipenda chongo utaona kengeza'Wewe bakia na kuamini muliibiwa kura. Hao wanaowaimbisha wimbo wa kuibiwa kura wenyewe wanajua mlitoka kapa mbele ya magufuli. Wananchi waiukataa kabisa upinzani. Wewe baki na upumbavu wako eti muliibiwa kura nchi nzima. Mtakua bila shaka wajinga sana😂
Alikuwa mtu wa watu wajinga.Magufuli alikuwa mtu wa haki ndiyo mtaani mpk Leo watu wanamlilia Yule alikuwa mpango wa Mungu kadiri siku zinavyokwenda baada ya kifo chake watu ndiyo wanazidi kumpenda
Huwezi kunielewa kwa kuwa wewe ni muabudu Magufuli. Achana na Babu zangu na ndugu zangu waliokufa. Wao hawakuiba uchaguzi ili watawale milele wala hawakuua watu wengine kwa sababu za ukosoaji.Imeandikwa kila nafsi itaonja mauti.
Kwahiyo babu yako, bibi yako, baba yako, mama yako nk waliokufa Mungu aliwakataa au watakapokufa Mungu atakuwa amewakataa na ww utakapokufa Mungu atakuwa amekukataa au ww utaishi milele!!