The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
View attachment 3343495
Kutoka wapi? Yale Yale ya lowasa^Kuna kundi kubwa sana linakuja^~ Salum Mwalimu
Ilishafanikiwa tayariGT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
View attachment 3343495
Msigwa aliwapigia mluzi hawakumwellewa. Waache wakafyeke pori tutaona watavuna mwaka gani?GT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
View attachment 3343495
Umesahau na ule moto wa mabua alioingia nao Zito na ACT yake uchaguzi wa 2015. Walisimamisha wagombea nchi nzima, baada ya ucjaguzi Zito pekee ndio akawa mbunge! Wakakaa kwa kutulia maana sponser aliona amepoteza hela. Ni bahati majuzi akapewa pumzi na Maalim Seif huko kwa wapemba.CCM Huwa Haina project za muda mrefu.
Ni Kwa ajiri ya kuiaminisha Dunia kwamba Chadema Umekufa, na Wanachama wamehamia CHAUMMA.
Baada ya Uchaguzi wataacha wajifie kama TLP na CUF.
Hao G55 hawana ushawishi kama wanavyojiaminisha .GT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
View attachment 3343495
TrueHao G55 hawana ushawishi kama wanavyojiaminisha .
CHAUMMA sasa hivi ndo habari ya mjini. Kila baada ya thread 2 ya tatu ni CHAUMMA.GT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
View attachment 3343495
Imeshafanikiwa kwa sababu lengo siyo kutengeneza mshindani mpya wa ccm bali ni kupunguza CDM na kuhalalisha Uchaguzi ujao.GT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
View attachment 3343495
Kama CDM isingekumbwa na fukuza fukuza ya wanachama mashuhuri Kaborou, Zitto, Dr Slaa, Covid 19 bila shaka kingekuwa na nguvu Mara tatu zaidi ya hii waliyonayo.GT
Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli?
Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
View attachment 3343495
Project ha CHAUMMA imefanikiwa [emoji817]CCM Huwa Haina project za muda mrefu.