Hivi hao Wakenya wametuzidi nini wabongo hadi wawe wanalipwa mishahara inayotuzidi? Mimi kila siku huku nakutana na Wakenya ambao sioni chochote walichonizidi. Sana sana ni wachovu na washamba na wanaotamani wangekuwa Watanzania. Sielewi kabisa hii ya kuwalipa mishahara iliyotuzidi
Amini usiamini kuna kitu waKenya wametuzidi... kimojawapo hiki hapa.
Mkenya akifanya kitu ana-communicate kwamba amefanya, kina faida gani kwenye taasisi husika na kuweka open kwa organization husika,
Mtanzania anaweza kufanya mambo mazuri na makubwa sana... alafu anakaa hayo aliyofanya moyoni kwake au kwenye kitengo chake...
Matokeo yake anakuwa -invisible kwenye organisation na mwishowe kuonekana hafanyi kazi!
Amini usiamini kuna kitu waKenya wametuzidi... kimojawapo hiki hapa.
Matokeo yake anakuwa -invisible kwenye organisation na mwishowe kuonekana hafanyi kazi!
Udokozi ni tabia ya mtu: hauna rangi, kabila au taifa. Kusema kwamba watanzania ni wadokozi si sahihi, japo kwa kweli wapo baadhi yao ambao ni wadokozi kama ilivyo kwa wakenya, nk ambao baadhi yao ni wadokozi. Ila mi nadhani sababu ya watanzania kutopendelewa na wenye ajira ni tabia ya watanzania ya kutojua kujipendekeza, kulamba miguu ya waajiri. Kwa kifupi ni watu "jeuri" japo maskini. Wanajifanya wajuaji na wenye kujua haki zao. Waajiri wengi hawapendi watu wa aina hii. Wanawakimbia na kukimbilia wale wenye kusema "ndiyo mkuu" na kutetemekea mwajiri.Juzi Snow Crest Imefunguliwa Arusha, na wafanyakazi wageni wameajiriwa kwa wingi. Na Watanzania wameitwa wadokozi
Sababu ni nini??
Watanzania ni Wadokozi? Au Waajiri ndo wanyonyaji wanawalipa watanzania mshahara kidogo ukilinganisha na wageni.
Mfano Mshahara wa Graduate wa Kitanzania ni laki 3 while graduate wa Kenya Au Ulaya ni Millioni moja??
Huyo Mtanzania ataweza kupanga nyumba ya hadhi yake? Ataweza kupanda gari ya hadhi yake? Mtanzania ataweza kujiwekea akiba ili baadae ajenge nyumba au anunue gari au asomeshe watoto?
Kwa hiyo Wadau hapa JF jadilini kama Watanzania ni wadokozi kweli au Watanzania wanaonewa??
Aaah wapi! mimi nakataa katakata. Wakenya hawajatuzidi lolote. Basi tu sisi tuna matatizo yetu ya kutukuza vya nje. Ujinga mtupu.
Suala hapa si woga! Suala ni kwamba waajiri wanatunyanyapaa watanzania. hawatutaki. sababu yao ni kwamba tuko wadokozi.mkuu nakuunga mkono 100% kabisa wakenya hawatuzidi lolote bali ni uwoga wetu watz na zaidi ni hatuna confidence hususani pale tunapomwona mgeni...hapo ndo tatizo kubwa huanzia, tunauwezo zaidi yao kabisa...mie naishi,nasoma,nafanya kazi nao hapa Europe mbona sioni walilonizidi.....wabongo tuache woga mazee....we can do the best of best.
Kunjygroup,Wana JF mumepotosha mada. Mada sio wakenya. Mada ni sisi wa Tz wadokozi. Nasikitikitika mumeshindwa kuona kwamba rais ametuangusha hapa kwa kushabikia wageni kuchukua kazi zetu eti sisi wadokozi. Hoja ya kitoto....
Hivi hao Wakenya wametuzidi nini wabongo hadi wawe wanalipwa mishahara inayotuzidi? Mimi kila siku huku nakutana na Wakenya ambao sioni chochote walichonizidi. Sana sana ni wachovu na washamba na wanaotamani wangekuwa Watanzania. Sielewi kabisa hii ya kuwalipa mishahara iliyotuzidi
Hivi hao Wakenya wametuzidi nini wabongo hadi wawe wanalipwa mishahara inayotuzidi? Mimi kila siku huku nakutana na Wakenya ambao sioni chochote walichonizidi. Sana sana ni wachovu na washamba na wanaotamani wangekuwa Watanzania. Sielewi kabisa hii ya kuwalipa mishahara iliyotuzidi
Wametuzidi kwa kingereza! Asilimia kubwa ya watanzania hawajui kingereza fasaha, na wanababaishababaisha sana wakati wa kuongea na kuandika.Mpadmire,
Lazima tujiulize kwanza sisi wenyewe, hao Wakenya wanatuzidi nini mpaka walipwe zaidi ya mara tatu ya Watanzania?
Sidhani kama kuna mwajiri ambaye angependa akachukue wakenya na kuwaacha Watanzania wakati skills zao zinafanana.
Kwenye dunia hii ya ushindani ni bora tujiandae na kukuza skills zetu ili tushindane na hao wengine.
Inasikitisha kuona ajira zinazotengenezwa zinaenda kwa wageni huku Watanzania tunaachwa kwenye mataa.
Tukirudi kwenye kazi za professional. Kuna kitu watanzania wa-lag behind. Kwanza english kwa watanzania wengi ni second language. Lakini wengi hatutaki ku-improve.