Eti wema sepetu mjamzito

Eti wema sepetu mjamzito

Vladimirr

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
546
Reaction score
569
gossip katika idara ya udaku leo kwa niaba ya wana makoro...

nalikamata gazeti la makolokocho
kichwa cha habari kina sema eti wema sepenga kanasa ujauzito unaosemekana kua ni mbunge na mfanya biashara za madini na mmiliki wa kampuni ya usafilishaji

WATAKA KUJUA NI NANI HUYO?

haya yalikua mahojiano yetu kati ya gossip na madam


gossip: hallow madam
madam: hallow
gossip : mambo madam unaonekana u mchovu sana madam
madam: year unashida gan sud
gossip: kuna taalifa nimezisikia madam eti umeonekata unakula kipande cha ndimu na chumvi vip kuna ukwel katika hili?
madam: sio kweli
gossip : maneno aliyoyasema mtabili yamekua kweli baada y kuonekana madam sepetu una mimba ya wiki kadhaa hvi
madam: please naomba uniache gossip
gossip: vip kuhusu@prince kafurahi baada ya taarifa ya daktari


...................
 
Ahsante kwa taarifa.

Subiri wenzako kina Matola waje mjadili vizuri ili tupate mawili matatu.
 
Wema sepenga ndio nani huyo na kwanini iwe ajabu yeye kupata ujauzito?
 
Wema si ni mwanamke jamani? Kupata ujauzito inakuwaje news ya ajabu. Eti wema sepetu ni mjamzito...ni kama vile ni ajabu yeye kupata ujauzito.
 
watu wana ugonjwa wa akili sijui! kinacho wakaba wema azaeazae nini?? ili uzi wa usingle mother umuandame tena?? je kaolewa ili tuseme kachelewa kuzaa
 
Back
Top Bottom