Eti wenye cell hizi hawawezi kupata UKIMWI?

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,726
Reaction score
314
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Walivyo na vipokezi hivyo hupata. CCR5 na CXR4." mwisho wa kunukuu.
hili ilitokea baada ya kuwa na discussion ya masula ya ukimwi

Sikuelewa wala kuamini nikaona uthibisho naweza pata kwa madokta wangu hapa.
Nawasilisha
 
Blood group O- is resistance to HIV aids viruses.
 
ni kweli yuko sahii, kwa sababu hizo cell zinakua na abdormalities ya kwenye receptor, kama ilivyo mtu mwenye sickle cell na plasmodium. Na kwa msingi huo HIV wanashidwa sababisha killing ya CD4 by CD8(CLTs)
 
ni kweli yuko sahii, kwa sababu hizo cell zinakua na abdormalities ya kwenye receptor, kama ilivyo mtu mwenye sickle cell na plasmodium. Na kwa msingi huo HIV wanashidwa sababisha killing ya CD4 by CD8(CLTs). opoptosis haitokei
 
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Walivyo na vipokezi hivyo hupata. CCR5 na CXR4." mwisho wa kunukuu.
hili ilitokea baada ya kuwa na discussion ya masula ya ukimwi

Sikuelewa wala kuamini nikaona uthibisho naweza pata kwa madokta wangu hapa.
Nawasilisha

Hao madaktari unaowataka hawawezi kuelezea hili.Kwanza kama ulichonukuu ni sahihi basi huyo aliyesema hivyo sio mtaalam.Hakuna mtu ambaye hawezi kupata ukimwi duniani.
Niliwahi kusema kwamba kasumba ni kitu kibaya sana,imefikia wakati sasa watu hawaoni tofauti kati ya Ukimwi na VVU/Ukimwi.Ukimwi upo lakini hausababishwi na germs/vijidudu na hauambukizwi na hauambukizwi kwa njia ya ngono.Hakuna ugonjwa unaoitwa VVU/Ukimwi kiuhalisia,VVU/Ukimwi ni ugonjwa wa kufikirika tu kwa kuwa hakuna virus ambaye ana uwezo wa kushusha kinga ya mtu duniani.
Hivyo basi,maelezo kuhusu uwepo wa CCR5 gene mutation hayana mashiko kwa kuwa mhusika mkuu anayelengwa hapa ambaye ni VVU hayupo kiuhalisia.Sijui kama nimeeleweka hapo.
 
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Wana vipokezi hivyo hupata. CCR5 na CXR4." mwisho wa kunukuu.
hili ilitokea baada ya kuwa na discussion ya masula ya ukimwi

Sikuelewa wala kuamini nikaona uthibisho naweza pata kwa madokta wangu hapa.
Nawasilisha

Ili virusi vya ukimwi au kitu kingine kama madawa ya kutibu maradhi kiweze kuingia mwilini na kusababisha effect ni lazima vipokelewe na vipokezi au "receptors" ambazo zinafanana kimuundo kwa mtindo wa lock and key / kitasa na funguo.

Sasa VVU Huwa wanashamiri vizuri kwenye chembechembe nyeupe za damu/white blood cells aina ya CD 4 ambazo kazi yake ni kuukinga mwili na maradhi. Yaani mwili ukihisi kuvamiwa na kitu kigeni/vijidudu unaanza kuvisoma muundo wake halafu unatengeneza site nzuri ya ku bind na hao wadudu na kuvimaliza kwa njia hiyo.

Sasa HIV huwa wana exception, kwamba CD 4 za binadamu zina receptors kwa nje (CCR 5 na CXCR 4) ambazo HIV wana enea/wanafit perfectly. Kwahivyo wanapoingia wanaji attach vizuri na kufanikiwa kuingia na kujitoa kopi(huwa hawazaliani kama virusi wa kawaida) wanajazana mwishowe kupasua hiyo celi na maelefu wa virusi waliotokana na kile kimoja wanakwenda kushambulia CD 4 nyingine tofauti tofauti.

Hatimaye wale wasiokua na receptors kwenye CD 4(CCR 5 CXCR 4) hawawezi kuingiliwa na VVU kwakua hawana nafasi ya kuishi damuni kwao.

Umeelewa sasa mkuu?
 
Umeswma wanakuwa hawana completely hiyo CCR 5 CXCR 4? Kwahiyo hawatapata kbs ukimwi au wataweza kuresist kw muda mrefu wakipata? Msaada pls.
 
Hawana kabisa. Kwahiyo vvu hawezi kuingia ndani ya cd 4.

Sio resistance per se, ni kwamba hao virusi wameshindwa ku adapt mazingira ya kuishi Nje ya cd 4 na bila cd 4 hawana maisha wanakufa.

Virusi wanahitaji kuwa ndani ya celi ili waweze kuishi.

Kwahiyo hawapati hiv kabisa! kuna mmama alifiwa na mumewe kwasababu ya hiv zaidi ya miaka 20 iliyopita, lakini yeye hana maambukizi kabisa na wala hakujua mapema vya kutosha kuwa mumewe alikua nao.
 
Ili virusi vya ukimwi au kitu kingine kama madawa ya kutibu maradhi kiweze kuingia mwilini na kusababisha effect ni lazima vipokelewe na vipokezi au "receptors" ambazo zinafanana kimuundo kwa mtindo wa lock and key / kitasa na funguo.

Sasa VVU Huwa wanashamiri vizuri kwenye chembechembe nyeupe za damu/white blood cells aina ya CD 4 ambazo kazi yake ni kuukinga mwili na maradhi. Yaani mwili ukihisi kuvamiwa na kitu kigeni/vijidudu unaanza kuvisoma muundo wake halafu unatengeneza site nzuri ya ku bind na hao wadudu na kuvimaliza kwa njia hiyo.

Sasa HIV huwa wana exception, kwamba CD 4 za binadamu zina receptors kwa nje (CCR 5 na CXCR 4) ambazo HIV wana enea/wanafit perfectly. Kwahivyo wanapoingia wanaji attach vizuri na kufanikiwa kuingia na kujitoa kopi(huwa hawazaliani kama virusi wa kawaida) wanajazana mwishowe kupasua hiyo celi na maelefu wa virusi waliotokana na kile kimoja wanakwenda kushambulia CD 4 nyingine tofauti tofauti.

Hatimaye wale wasiokua na receptors kwenye CD 4(CCR 5 CXCR 4) hawawezi kuingiliwa na VVU kwakua hawana nafasi ya kuishi damuni kwao.

Umeelewa sasa mkuu?

Kwa maelezo yako nazidi kuamini huu ugonjwa ulitengenezwa... Maana unaona kama ulivyosema hivi virusi exception yake ni kwamba vinashambulia CD4 kitu ambacho sio bahati mbaya
 
Haujatengenezwa, unashambulia hapo kwakua ndio sehemu pekee inayoweza kuingia.

Rejea "lock and key" theory niliyoiweka hapo juu.
 
bisha kwa kutoa fact, mi nasema ni kweli ila cjui kama ni kwa wote wenye o-, mi kuna mtu namfahamu yupo ok, wakati mkewe ni positive huu, ni mwaka wa 10!!

Safi sana,wewe itakuwa rahisi sana kunielewa kuhusu masuala haya ya HIV/AIDS kwamba tumedanganywa,kwa kuwa tayari una mifano halisi ya mtaani.Ndio maana nikato link ya thread nyingine ili mnifuatilie kwenye hiyo thread ninazungumzia mambo hayahaya kwa facts,tena sio tu facts,bali facts nzito.
Sasa huyo uliyemuona wewe yuko ok si kwa sababu ya blood group O bali sababu ni nyingine kabisa,na sababu hii ndio inathibitisha kwamba HIV/AIDS ni ugonjwa feki.Ndio maana nikasema fuatilieni hiyo link niliyotoa mpate mambo mengi zaidi ya haya,na wewe mwenyewe utakuwa shuhuda kwa kuwa umeona na utakutana na mashuhuda wenzako kama wewe hivyo utaelewa zaidi ya hayo unayodhani ndio sahihi.Nimerudia kuiweka link hapo chini uifuatilie,sitaweza kujibu maswali hayohayo kwenye thread mbili tofauti.

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...wenye-ukimwi-tena-peku-na-asipate-ukimwi.html
 
Hawana kabisa. Kwahiyo vvu hawezi kuingia ndani ya cd 4.

Sio resistance per se, ni kwamba hao virusi wameshindwa ku adapt mazingira ya kuishi Nje ya cd 4 na bila cd 4 hawana maisha wanakufa.

Virusi wanahitaji kuwa ndani ya celi ili waweze kuishi.

Kwahiyo hawapati hiv kabisa! kuna mmama alifiwa na mumewe kwasababu ya hiv zaidi ya miaka 20 iliyopita, lakini yeye hana maambukizi kabisa na wala hakujua mapema vya kutosha kuwa mumewe alikua nao.

Kumbe unajua kama bila cd4 hawa HIV feki hawawezi kuishi,wanakufa,sasa kwa nini mnasema hawa HIV feki wanaua cd4 ambazo ndio wanazozitegemea ili waweze kuishi?Njoo kweli link hapo chini ukutane na madaktari wenzako wanavyotoka jasho,hawana hoja za kupinga kile ninachoeleza.Huyo mama sio kama hana maambukizi eti kwa sababu ya CCR5 gene mutation,la hasha,bali sababu ni kwamba ugonjwa huu wa HIV/AIDS ni feki katika nyanja zote kuanzia historia yake,hypothesis yake,vipimo vyake na mpaka madawa yake ya ARVs.Njoo huku upate elimu ya kweli ambayo hutaipata kutoka mainstream.Karibu.

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...wenye-ukimwi-tena-peku-na-asipate-ukimwi.html
 
Hawana kabisa. Kwahiyo vvu hawezi kuingia ndani ya cd 4.

Sio resistance per se, ni kwamba hao virusi wameshindwa ku adapt mazingira ya kuishi Nje ya cd 4 na bila cd 4 hawana maisha wanakufa.

Virusi wanahitaji kuwa ndani ya celi ili waweze kuishi.

Kwahiyo hawapati hiv kabisa! kuna mmama alifiwa na mumewe kwasababu ya hiv zaidi ya miaka 20 iliyopita, lakini yeye hana maambukizi kabisa na wala hakujua mapema vya kutosha kuwa mumewe alikua nao.

Hivi kwenye vimaji maji vya uke na shahawa kuna cd4? Kama hakuna sasa HIV wansishije kama nje ya cd4 wanakufa?

Halafu wanauwawa na nini maana kwa mtazamo wangu mwili lazima utoe antigens kwa kila antibody inayoingia. Sasa kwanini huyu mtu mnayesema hawezi kupata HIV kwavile hana hizo receptor kwenye cd4 zake akipimwa antigens zisionekane na hivyo kuonekana HIV+. Au zinakufa zenyewe bila kushambuliwa na kinga za mwili? Au zinakuwa dormant na anaweza muambukiza mwingine? Zamani ukimwi ulivyoingia tulisikiaga habari za carriers au ndio hawa?
 
Back
Top Bottom