Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Walivyo na vipokezi hivyo hupata. CCR5 na CXR4." mwisho wa kunukuu.
hili ilitokea baada ya kuwa na discussion ya masula ya ukimwi
Sikuelewa wala kuamini nikaona uthibisho naweza pata kwa madokta wangu hapa.
Nawasilisha
hili ilitokea baada ya kuwa na discussion ya masula ya ukimwi
Sikuelewa wala kuamini nikaona uthibisho naweza pata kwa madokta wangu hapa.
Nawasilisha