Kichwa Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,726
- 314
Blood group O- is resistance to HIV aids viruses.
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Walivyo na vipokezi hivyo hupata. CCR5 na CXR4." mwisho wa kunukuu.
hili ilitokea baada ya kuwa na discussion ya masula ya ukimwi
Sikuelewa wala kuamini nikaona uthibisho naweza pata kwa madokta wangu hapa.
Nawasilisha
Blood group O- is resistance to HIV aids viruses.
ni kweli yuko sahii, kwa sababu hizo cell zinakua na abdormalities ya kwenye receptor, kama ilivyo mtu mwenye sickle cell na plasmodium. Na kwa msingi huo HIV wanashidwa sababisha killing ya CD4 by CD8(CLTs). opoptosis haitokei
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Wana vipokezi hivyo hupata. CCR5 na CXR4." mwisho wa kunukuu.
hili ilitokea baada ya kuwa na discussion ya masula ya ukimwi
Sikuelewa wala kuamini nikaona uthibisho naweza pata kwa madokta wangu hapa.
Nawasilisha
Ili virusi vya ukimwi au kitu kingine kama madawa ya kutibu maradhi kiweze kuingia mwilini na kusababisha effect ni lazima vipokelewe na vipokezi au "receptors" ambazo zinafanana kimuundo kwa mtindo wa lock and key / kitasa na funguo.
Sasa VVU Huwa wanashamiri vizuri kwenye chembechembe nyeupe za damu/white blood cells aina ya CD 4 ambazo kazi yake ni kuukinga mwili na maradhi. Yaani mwili ukihisi kuvamiwa na kitu kigeni/vijidudu unaanza kuvisoma muundo wake halafu unatengeneza site nzuri ya ku bind na hao wadudu na kuvimaliza kwa njia hiyo.
Sasa HIV huwa wana exception, kwamba CD 4 za binadamu zina receptors kwa nje (CCR 5 na CXCR 4) ambazo HIV wana enea/wanafit perfectly. Kwahivyo wanapoingia wanaji attach vizuri na kufanikiwa kuingia na kujitoa kopi(huwa hawazaliani kama virusi wa kawaida) wanajazana mwishowe kupasua hiyo celi na maelefu wa virusi waliotokana na kile kimoja wanakwenda kushambulia CD 4 nyingine tofauti tofauti.
Hatimaye wale wasiokua na receptors kwenye CD 4(CCR 5 CXCR 4) hawawezi kuingiliwa na VVU kwakua hawana nafasi ya kuishi damuni kwao.
Umeelewa sasa mkuu?

Si kweli.
bisha kwa kutoa fact, mi nasema ni kweli ila cjui kama ni kwa wote wenye o-, mi kuna mtu namfahamu yupo ok, wakati mkewe ni positive huu, ni mwaka wa 10!!
Hawana kabisa. Kwahiyo vvu hawezi kuingia ndani ya cd 4.
Sio resistance per se, ni kwamba hao virusi wameshindwa ku adapt mazingira ya kuishi Nje ya cd 4 na bila cd 4 hawana maisha wanakufa.
Virusi wanahitaji kuwa ndani ya celi ili waweze kuishi.
Kwahiyo hawapati hiv kabisa! kuna mmama alifiwa na mumewe kwasababu ya hiv zaidi ya miaka 20 iliyopita, lakini yeye hana maambukizi kabisa na wala hakujua mapema vya kutosha kuwa mumewe alikua nao.