Naomba uniambie HIV ni nini kwa mtazamo wako na kwa mtazamo wa hao unaosema wanatudanganya ili watu waone
hoja zako, mimi binafi sijawahi kuona logics zako moja kwa moja.
I am so open minded ready to hear from you.
Unajua mkuu,ili mtu aweze kukuelewa inabidi kwanza kabisa awe na nia ya kukusikiliza hoja zako,lakini inanisikitisha sana kwamba watu wengi wanaposikia au kuona mambo mapya tofauti na yale waliyoyazoea huwa kwanza kabisa hukimbilia kupinga bila hata kujipa nafasi ya kuhoji,hii ni tabia mbaya sana na ni mojawapo ya tabia mbaya kabisa inayotutofautisha sisi watu weusi na wazungu.Hatuwezi kuendelea kifikra kama tutaendelea na tabia hii.
Kama mtu ana hoja mpya ambayo huijui na inakushangaza,cha kwanza kabisa inabidi mtu ajiulize,"kwa nini huyu mtu anasema hivi"?Au "kwa nini hao waliotudanganya wameamua kutudanganya"?"Wanapata faida gani"?.Hayo ndio maswali yatakayo kujengea msingi wa kuhoji. Lakini watu ubongo wao umeshakuwa na ganzi hawawezi hata kuji switch wenyewe kuhoji.
Watu wanakufa halafu wengine wanaleta mzaha,halafu hawajijui kama wanaleta mzaha na badala yake wanaona mimi ndio naleta mzaha,ama kweli kifungo cha akili ni kibaya sana.
Ndugu yangu ili uweze kupata ukweli wa swali unalouliza,kwanza inabidi ujue historia ya kweli kuhusu HIV.Ukishajua historia yake ya kweli ndipo utakapobainisha kwamba HIV is not real bali ARVs ndio real problem.Matatizo yanayojitokeza kwa watu wanaotumia ARVs hayasababishwi na HIV na ukweli ni kwamba yanasababishwa na ARVs,hapa ndiko kulipowachanganya madaktari.
Mimi nina evidence kwa haya ninayosema lakini wao hawana evidence kwa kile wanachosema zaidi ya kutumia hisia walizobebeshwa kutoka mashuleni,na hawajui kwamba yale waliyofundishwa hayana ukweli wa kisayansi na hawajafanya utafiti wowote kujua zile dalili wanazoziona kwa mtu anayetumia ARVs zimesababishwa na nini.
Mimi nimefanya utafiti,lakini kwa kuwa mimi ni mtu mweusi sina hadhi mbele ya watu basi watu hukimbilia kudharau na kupinga,lakini maneno haya haya angeyasema Obama yasingepingwa. Hawajui kwamba uelewa huu nimeupata kutoka kwa madaktari wenye hadhi ya juu kabisa dunia ambao wanapinga suala hili la HIV/AIDS,watu wanajua kwamba haya ni mawazo yangu binafsi.
Haya si mawazo yangu binafsi. Wakati nafanya utafiti huu nilikuwa open kusikiliza pande zote mbile kwa usawa,wale wanao support HIV/AIDS na wale wanaopinga HIV/AIDS,na mwisho baada ya kufanya utafiti nikagundua kwamba kwa 100% wanaopinga wako sahihi.Lakini hawa ndugu zangu madaktari hawataki hata kutoa nafasi kusikiliza upande wa pili.Hii ni hatari sana kwa mtu unayetegemewa na jamii,huwezi kupanuka kiuelewa kwa tabia hii.
Nimefuatilia hoja za kisayansi za pande zote mbili,nimefuatilia scientific documentaries za pande zote mbili. Na mwisho nimefikia hitimisho hili baada ya kufanya utafiti,hivi ndivyo msomi anavyotakiwa kuwa.Nina documentaries zaidi ya 60 zote nimefuatilia. Najua ninachokiongea.
Kwa kifupi;
HIV ni jina ambalo amepachikwa Retrovirus mwenye genetic composition fulani(maelezo mengi) ili kuonesha kwamba retrovirus huyu anasababisha AIDS.Yaani Human Immunodeficiency Virus.,jina hili ukiliweka kwa kiswahili maana yake ni kirusi kinachosababisha ukimwi.Hivyo kwa maana yao ni kwamba HIV yuko kwenye family ya retrovirus,halafu wanasema anasababisha ukimwi.
Lakini kisayansi, retrovirus hana uwezo kabisa wa kusababisha ukimwi.All retrovirus,all,can not cause AIDS.Ina maana ninaposema all ni kwamba HIV nimemjumuisha humo.Na ndio maana ukiachilia mbali scientific proofs,hata real life experience inaonesha wazi kwamba HIV(hypothetical) hasababishi ukimwi na badala yake ukimwi unasababishwa na mambo mengine tofauti kabisa,na ukimwi ulikuwepo karne nyingi zilizopita kabla ya kutangazwa kwa HIV mwaka 1984.Media zikaanza ku brainwash watu mwaka ule,zikarudiarudia mara kwa mara kwamba HIV causes AIDS na mwishowe uongo ukageuka kuwa ukweli.
Mwaka huo 1984 ilitangazwa hivi "The probable cause of AIDS has been found",na sasa hivi probable cause amegeuka kuwa real cause bila hata further scientific research kufanyika.Mkuu kuna mambo mengi sana hapa.Lakini inabidi ujue kwamba ugonjwa huu ni feki katika nyanja kuu zifuatazo;
1.Historia yake
2.Hypothesis yake
3.Vipimo vyake(HIV tests)
4.Dawa zake za ARVs
Katika sayansi ili ugundue kitu chochote lazima ufuate taratibu zifuatazo;
1.Observation 2.Hypothesis 3.Experimentation 4.Conclusion
Kama hatua za kwanza si sahihi basi huwezi kupata hitimisho sahihi kamwe.Hivi ndivyo lilivyo suala hili la HIV/AIDS.HIV hypothesis is wrong,hivyo huwezi kuhitimisha kwamba HIV anasababisha ukimwi wakati hypothesis yake sio sahihi.Sasa hawa madaktari maeneo kama haya ndio yaliyowaumiza.Hawana uthibitisho wakati mimi uthibitisho ninao.Wanasema pia ARVs hazisababishi AIDS lakini hawana uthibitisho lakini mimi uthibitisho ninao.
WHO data zinaonesha kwamba 97% ya watu wenye HIV katika bara la afrika hawana AIDS.Sasa kwa nini itokee hivyo wakati inasemekana HIV ndiye aneyesababisha AIDS?Ok,huku watasema nimefoji,twende katika masiha yetu ya kila siku,kuna wachangiaji wametoa mifano ya ndugu zao waliopimwa HIV lakini bado wanaishi miaka mingi tu zaidi ya 10 bila AIDS.Najua madaktari watakimbilia kwenye CCR5 gene mutation theory.Lakini wakumbuke pia watu wengi wa namna hiyo huku afrika hawana hiyo mutation,sasa inabidi wajiandae pia kujibu mkanganyiko huo,najua ikitokea watu wa namna hiyo hawana hiyo gene mutation watasema basi itakuwa vipimo vilikosea kutoa majibu.Yaani mkanganyiko wowote utakaotokea lazima waujengee hoja.Hakuna namna ambayo unaweza kuwashawishi madaktari wetu ili waweze kuangalia na upande wa pili pia.
-Hawana real life proof kwamba HIV anasababisha AIDS,mimi ninazo proof kupinga hoja zao,wana JF wengi pia wanazo.
-Wanasema ARVs hazisababishi AIDS,lakini hawana real life proof kuthibitisha hilo,mimi ninazo proof kuthibitisha kwamba ARVs zinasababisha AIDS.
Karibu kama una swali zaidi ya hapo.