Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwenye vimaji maji vya uke na shahawa kuna cd4? Kama hakuna sasa HIV wansishije kama nje ya cd4 wanakufa?
Halafu wanauwawa na nini maana kwa mtazamo wangu mwili lazima utoe antigens kwa kila antibody inayoingia. Sasa kwanini huyu mtu mnayesema hawezi kupata HIV kwavile hana hizo receptor kwenye cd4 zake akipimwa antigens zisionekane na hivyo kuonekana HIV+. Au zinakufa zenyewe bila kushambuliwa na kinga za mwili? Au zinakuwa dormant na anaweza muambukiza mwingine? Zamani ukimwi ulivyoingia tulisikiaga habari za carriers au ndio hawa?
Naomba uniambie HIV ni nini kwa mtazamo wako na kwa mtazamo wa hao unaosema wanatudanganya ili watu waone
hoja zako, mimi binafi sijawahi kuona logics zako moja kwa moja.
I am so open minded ready to hear from you.
.......
Kwa kifupi;
HIV ni jina ambalo amepachikwa Retrovirus mwenye genetic composition fulani(maelezo mengi) ili kuonesha kwamba retrovirus huyu anasababisha AIDS.Yaani Human Immunodeficiency Virus.,jina hili ukiliweka kwa kiswahili maana yake ni kirusi kinachosababisha ukimwi.Hivyo kwa maana yao ni kwamba HIV yuko kwenye family ya retrovirus,halafu wanasema anasababisha ukimwi.
Lakini kisayansi, retrovirus hana uwezo kabisa wa kusababisha ukimwi.All retrovirus,all,can not cause AIDS.Ina maana ninaposema all ni kwamba HIV nimemjumuisha humo.Na ndio maana ukiachilia mbali scientific proofs,hata real life experience inaonesha wazi kwamba HIV(hypothetical) hasababishi ukimwi na badala yake ukimwi unasababishwa na mambo mengine tofauti kabisa,na ukimwi ulikuwepo karne nyingi zilizopita kabla ya kutangazwa kwa HIV mwaka 1984.Media zikaanza ku brainwash watu mwaka ule,zikarudiarudia mara kwa mara kwamba HIV causes AIDS na mwishowe uongo ukageuka kuwa ukweli.....
Mimi si mtaalamu wa mambo haya japo nina uwezo wa kuweka vitu kwenye mizani yangu ndogo na kuvipima.
Naomba niambie kati ya terms zifuatazo ipi inasema uongo na kwanini?(Of course vyote nimevitoa wikipedia)
Lentivirus
Lentivirus (lente-, Latin for "slow") is a genus of viruses of the Retroviridae family, characterized by a long incubation period. Lentiviruses can deliver a significant amount of viral RNA into the DNA of the host cell and have the unique ability among retroviruses of being able to infect non-dividing cells, so they are one of the most efficient methods of a gene delivery vector. HIV, SIV, FIV, EIAV, and Visna are all examples of lentiviruses.
Apoptosis
Apoptosis (/ˌæpəˈtoʊsɪs/;[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP] from Ancient Greek ἀπό apo, "by, from, of, since, than" and πτῶσις ptōsis, "fall") is the process of programmed cell death (PCD) that may occur in multicellular organisms.[SUP][4][/SUP] Biochemical events lead to characteristic cell changes (morphology) and death. These changes include blebbing, cell shrinkage, nuclear fragmentation, chromatin condensation, and chromosomal DNA fragmentation.
Retrovirus
Retroviridae is a family of enveloped viruses that replicate in a host cell through the process of reverse transcription. A retrovirus is a single-stranded positive sense RNA virus with a DNA intermediate and, as an obligate parasite, targets a host cell. Once inside the host cell cytoplasm, the virus uses its own reverse transcriptase enzyme to produce DNA from its RNA genome, the reverse of the usual pattern, thus retro (backwards). This new DNA is then incorporated into the host cell genome by an integrase enzyme, at which point the retroviral DNA is referred to as a provirus. The host cell then treats the viral DNA as part of its own genome, translating and transcribing the viral genes along with the cell's own genes, producing the proteins required to assemble new copies of the virus. It is difficult to detect the virus until it has infected the host. At that point, the infection will persist indefinitely.
HIV
The human immunodeficiency virus (HIV) is a lentivirus (a subgroup of retrovirus) that causes the acquired immunodeficiency syndrome (AIDS),[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] a condition in humans in which progressive failure of the immune system allows life-threatening opportunistic infections and cancers to thrive. Without treatment, average survival time after infection with HIV is estimated to be 9 to 11 years, depending on the HIV subtype.[SUP][3][/SUP] Infection with HIV occurs by the transfer of blood, semen, vaginal fluid, pre-ejaculate, or breast milk. Within these bodily fluids, HIV is present as both free virus particles and virus within infected immune cells.
HIV infects vital cells in the human immune system such as helper T cells (specifically CD4[SUP]+[/SUP] T cells), macrophages, and dendritic cells.[SUP][4][/SUP] HIV infection leads to low levels of CD4[SUP]+[/SUP] T cells through a number of mechanisms, including apoptosis of uninfected bystander cells,[SUP][5][/SUP] direct viral killing of infected cells, and killing of infected CD4[SUP]+[/SUP] T cells by CD8 cytotoxic lymphocytes that recognize infected cells.[SUP][6][/SUP] When CD4[SUP]+[/SUP] T cell numbers decline below a critical level, cell-mediated immunity is lost, and the body becomes progressively more susceptible to opportunistic infections.
Ha ha haaa,mkuu ukiona umejiuliza swali kama hilo ujue wewe tayari umeshatoka tunduni,walio tunduni kamwe hawawezi kujiuliza hivyo.Hongera kwa hiyo attitude.
Habari, Ni kwenye magroup ya whats app kuna mtalaamu mmoja alisema hivi," kwenye cell kuna vipokezi vya kupokelea virusi vya ukimwi, sasa kuna watu hawana hawa hawawezi kupata ukimwi. Walivyo na vipokezi hivyo hupata. CCR5 na CXR4." mwisho wa kunukuu.
hili ilitokea baada ya kuwa na discussion ya masula ya ukimwi
Sikuelewa wala kuamini nikaona uthibisho naweza pata kwa madokta wangu hapa.
Nawasilisha
Kaunga
Zipo mpaka kwenye shahawa.
Dah umechanganya madesa mpaka nakosa namna rahisi ya kukueleza.
Antigen ni protein au pathogen ambayo inauwezo wa kusababisha uzalishaji wa antibodies.
Antibodies ndiyo zinazo pambana sio antigens. HIV wakivamia mwili antibodies za kufanana nao zinatengenezwa lakini kwasababu ya uwezo mkubwa wa kuzaliana, na tabia ya kuwa vigeugeu(wanabadilika maumbile sana, mwasababu system yao ya kuzaliana/kujitoa kopi iko prone to a lot of errors so mwili ukitaka kuiga shape yake HIV ili iwamalize, inakuta wameshabadilika na kushindwa kudhibiti wingi wao.
Hatimaye baada ya muda wa miezi 3 mpaka 6 zile antibody zilizotengenezwa kujaribu kupambana na hiv zinaweza sasa kuwa detected kwa vipimo vya serology tunavyofanya kama determine strip, unigold na bioline. Unless vitumike vipimo kama.DNA.PCR au ELISA vyenye uwezo wa hali ya juu ya kuhisi maambukizi yenye umri wa 2 weeks.
Carrier sio neno la kitaalam kwahiyo halimaanishi chochote kwenye medicine ya HIV.
Kuhusu CD 4 T lymphocytes, hizi ni helper cells ambazo kukitokea uvamizi mwilini na wadudu, zina stimulate B lymphocytes, hizi zinaenda kumsoma mdudu/kirusi/bakteria na kwenda kujitengenezea umbo la kufanana naye, kisha zinajitoa kopi na kutengeneza plasma cells I.e antibodies.zenye umbo sasa la kuendana na hao vijidudu halafu vinakwenda kuwaua na baada ya hapo kutengeneza kumbukumbu ya hao wadudu(immunological memory cells) ili wakija tena siku nyingine wanawavaa mapema.
Sijui umenielewa mpaka hapo?
Binafsi sijaelewa sababu ya msingi kwanini ule uzi wameufuta,waafrika kamwe hatutaweza kujitegemea hadi mwisho wa ulimwengu.inawezekanaje mtu aliyekutawala ili apate mali na alilazimishwa kutoka afrika leo hii awe mwema akusaidie?hapo napata wasiwasi kidogo,kwahiyo ule uzi ungeachwa ili tupime upi ni ukweli.
Plz we group belong to me plz
Kwanza kabisa, Wikipedia sio source nzuri sana ya taarifa hasa ya maswala ya medicine!
Pili, hizo taarifa ili uweze kuzielewa, unahitaji knowledge ya Biochemistry, Immunology na pia ya Physiology bila kusahau Internal medicine ili uweze kuelewa mechanism ya action ya ART/ARV.
Kama vipi tuandae seminar ya medical education juu ya HIV mje na kiingilio, eneo na wakati tutapanga. Kuwe na minimum ya watu 20.
Once you're ready, feel free to PM me.
sija muona mzizi mkAvu. dr wangu uyo alinipa dawa ya jino. kwa kuniambia ni sukutulie mkojo wangu kila ni amkapo asubuhi asante sana.. mzizi mkavuu
. lakini leo hapa kwenye chakula ya dunia sikuoni mana kurasa hii inadarasa kubwa mno
back to topic.
Ee bana eeh kwaiyo ukimwi sisi tuna danganywa sio Na mi naona nikweli tuna danganywa haswa lakini ...kuna walakini kidogo. unataka kujitokeza kwangu kuelewe.
kwaiyo ivo via vyetu vya uzazi ndo vina eneza sana huu ukimwi? vip mtoto akizaliwa na akapata ma ambukizi nako ina kua vip. mana kuna watoto wadogo wana tumia. dawa izo na siku wakishikwa na homa inakua ni tabu tu. na izi dawa iweje mtuu akizitumia ngozi inabadilika rangi sana na hata kule mwanza niliona wakitangaza wafugaji wana wapa ngombe izo dawa za ARV na ngombe wana nenepa sasa inakua nini kipo kwenye izo dawa mtuu ameumwa ukimwi kadhofika aki anza dozi mwili una imarika na pia kunenepa izo dawa zina kua zinafanya nini cha kufanya kuwa ivo
na pia ukiwa na ukimwi wana sema usifanye mapenzi mara nyingi . itakupelekea kupoteza nguvu au hata kudhofika na pia uta wahi kufa mapema hao wanao tumia arv. kwahiyo huu ukimwi jamani una vitisho vikali sana na . ukimwi kumbe ni uwongo wa watu kwaiyo ayo magonjwa mengine yaki uwa. cell nyingi za damu. ndio mana inakua mtuu hatibiki wao wanakuja kupachika kua ni ukimwi kwamana hiyo basi ukimwi ni uwongo. ulio tukuka.
wa afrika tuna itaji darasa haswa kuelewa ivi vitu. shule zipo lakini ndo ivo vyakula kama ivi vya ubongo hatupewe tunaenda fundishwa mambo ya kina vasco dagama jamani. kweli kuna haja ya ku amka na kujifunza zaidi asanteni jf japo ndo tuna banwa banwa ila mwanya upo wa mtuu kuanza kuelewa kidogo kidogo.
ukimwi ndo ata najiuliza kwanini mataifa makubwa ata stori zao za mitandaoni hatuoni wakizungumzia huo ukimwi kwani wao sio binadamu kama sisi.? ukimwi kweli upo afrika tu. lakini .....???