Eti wenye cell hizi hawawezi kupata UKIMWI?

kwa taarifa yako blood group ndo victim wa huo ugonjwa kasome
 

mkubwa unachangabmnya mambo na sie wataalam hatuwezi kukuelewa ukisema hakuna VVU, hii ni tafsiri ya HIV ambaye ni kirus, anayefahamika kwa sifa, tabia na uwezo wake wakuadhiri immune system, na ni kweli watu wanaokosa hizi co recepto CCR5 na CXR4 receptor hawapati maambukizo
 

Hizo ni nadharia tu,hamna ukweli hapo ndugu yangu,stretch kidogo tu ubongo wako utaelewa ukweli uko wapi.Njoo huku uone wenzako wanavyotoka jasho;

https://www.jamiiforums.com/jf-doct...wenye-ukimwi-tena-peku-na-asipate-ukimwi.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…