Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wenye group hilo naona wanapata shida sana kupata watoto, cjui km ni kweli!
Hao madaktari unaowataka hawawezi kuelezea hili.Kwanza kama ulichonukuu ni sahihi basi huyo aliyesema hivyo sio mtaalam.Hakuna mtu ambaye hawezi kupata ukimwi duniani.
Niliwahi kusema kwamba kasumba ni kitu kibaya sana,imefikia wakati sasa watu hawaoni tofauti kati ya Ukimwi na VVU/Ukimwi.Ukimwi upo lakini hausababishwi na germs/vijidudu na hauambukizwi na hauambukizwi kwa njia ya ngono.Hakuna ugonjwa unaoitwa VVU/Ukimwi kiuhalisia,VVU/Ukimwi ni ugonjwa wa kufikirika tu kwa kuwa hakuna virus ambaye ana uwezo wa kushusha kinga ya mtu duniani.
Hivyo basi,maelezo kuhusu uwepo wa CCR5 gene mutation hayana mashiko kwa kuwa mhusika mkuu anayelengwa hapa ambaye ni VVU hayupo kiuhalisia.Sijui kama nimeeleweka hapo.
mkubwa unachangabmnya mambo na sie wataalam hatuwezi kukuelewa ukisema hakuna VVU, hii ni tafsiri ya HIV ambaye ni kirus, anayefahamika kwa sifa, tabia na uwezo wake wakuadhiri immune system, na ni kweli watu wanaokosa hizi co recepto CCR5 na CXR4 receptor hawapati maambukizo