Eti wewe unazingatia nini? nyumba, gari, kipato, mapenzi.........???

Tasia I

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2010
Posts
1,223
Reaction score
193
ha bari za wikiend JF!
Jamani mimi mwanzoni nilidhani/nilichukulia kua uchumi ndio kigezo kikubwa cha
kuahakikisha nimefaulu kabla ya kuoa. Yaani, angalau hata kama sio kujenga au
kua na mahela mengi lakini angalau niwe na convinient source ya income.
Pamoja na kigezo hiki kubakia na uzito mkubwa lakini kwa sasa nimekiweka cha pili.
cha kwanza kwa sasa ni kuwa au kumpata mtu wa kumwoa.
sikuwah kufikiri kua hii ni bahati, au baraka na si kila mmoja anae/ataepata.

Hivi kwa wewe mJF kigezo kikubwa unachozingatia kabla ya kuoa ni kipi??
 
Tungekuwa pamoja ungesema ninakuiga! Mimi nimejaribu kusoma soma vitabu na kugundua umuhimu wa hili suala naomba nisharee nawewe ifuatavyo:-

1. Maisha ya ndoa pia huandaliwa kama unavyoandaa hayo mapesa, magari na majumba. Ukisema ukija kupata hayo ndiyo uoe kuoa siyo kuoa tu kama unavyodhani kwa ulimwengu wa sasa ni kazi tete sana hasa kupata wa moyo wako! so unahitaji kuliandaa hili pia kwa wakati huhuu ambao unajipanga na kipato.

2. Ukiangalia katika maandiko ya Mungu kuna mstari unasema hivi: APATAE MKE APATA KITU KILICHO CHEMA, TENA ANAKUBALIKA NA BWANA (MUNGU) Unaweza ukafanya vitu vingi sana peke yako na visiende kabisa, ila ukija kuoa tu tayari mambo yanawiva kila kitu kinaenda sawa bin sawie!

3. Ni nzuri kuja kuyatafuta wote hayo mafanikio unayoyatafuta wewe, kwani mkiyatafuta wote lazima mtayatunza wote, ukiyatafuta peke yako mwenzio akija atatumia vibaya jambo ambalo litaleta ugomvi kwenye ndoa.

4. Ndugu yangu mke ni muhimu sana ukioa wa kwako i mean mnayeshabihiana kwa kila hali. Mimi mwenyewe nalia mno sasa hivi, nahaha kutafuta mwenza lakini sipati kabisa wa kufanana naye. yaani unalia unakuwa kama chizi. Halafu kumbuka ukioa utatulia hata kiakili, watu watakuheshimu zaidi, credibility itaongezeka, tamaa na miwasho itabadilika na kama ni mtu wa Mungu basi njia ya mfanikio kwako ni huyo mke!

Oa kaka na mimi natafuta mke nikimpata tu hata leo naoa soon!
 
nawasubiria kwanza
 
Nyumba, gari, kipato steady (sio mshahara!)...
My queen must find her king ready for her...!!!
 

Jinsi unavyoamua. Ni vigumu kukwambia kigezo maalum. Life is the way you make it. Fikiria waTZ wenye asili ya kihindi, wamejenga? Mbona uchumi wao ni imara sana.
 
At least niwe na source nzuri ya income!!
 
Instincts... Go with instincts.. Issue kama instincts zako ni mbovu...
 
Instincts... Go with instincts.. Issue kama instincts zako ni mbovu...
Kwenye hili watu wataficha INSTINCTS zao ili waonekane tofauti na ndio maana nikawa nasema hapa wengi tutaishia kudanganyana tu na kupakana mafuta kwenye mgongo
 
Kwani nini kazi ya uGF na uBF? hiyo ndo preparatory stage ya kuoa., I don't wanna bliv kwamba mtu ukiwa unatafuta maisha(Kujijenga kiuchumi) ndo hutajihusisha kabisha huku kwa malavidavida (uGnBF)
Mi naamini hadi pale utakapokuwa umeshajijenga utakuwa ushajua nani wa kumuoa..!
 
Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida....
 
Kwenye hili watu wataficha INSTINCTS zao ili waonekane tofauti na ndio maana nikawa nasema hapa wengi tutaishia kudanganyana tu na kupakana mafuta kwenye mgongo


Nimekupata kabisaa...lol... i wonder y twaogopa,
na hata hivyo i second kua hatapata answers hapa...
labda muelekezo...
 
Every good thing under the sun.......Hey every thing is possible that's a beautyOf living ....Nikipata ...greatNikikosa.... tomorrow is a new day ..NajRibu kukaambali na watu wenye Negative mind ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…