Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 726
- 320
kaka unadhani mkua jitihada yoyote unayoweza kufanya ili kupata huyo mke wako (wakufanana nae)
me naona kama hhakuna jitihada za kibinadam zinazowezekana labda za kiroho na hii ji kwa wale waaminitu.
sasa kwa wasio waamini sijui inakuaje!
katika hili nakusihi usinitie majaribuni ee mwenyezi Mungu.Amen.
Jitihada kaka zipo kabisa! kwani wewe huelewi mke wako unataka awe na sifa gani? cha msingi ukielewa hivyo anza kutafuta wa hivyo! Ila chamaana zaidi nikumwachia mwenyezi mungu!