Eti wewe unazingatia nini? nyumba, gari, kipato, mapenzi.........???


Jitihada kaka zipo kabisa! kwani wewe huelewi mke wako unataka awe na sifa gani? cha msingi ukielewa hivyo anza kutafuta wa hivyo! Ila chamaana zaidi nikumwachia mwenyezi mungu!
 
Naweza nikawa na mpenzi tayari lakini siwezi kuingia katika ndoa kama sina uhakika na kipato cha kuniwezesha kubadili mlo...

mh! nadhani sijawa na uhakia na unachomanisha.
yani unamana unaweza kua na mtu, kaishi pamoja na kuzaa ila hutofunga ndoa mpaka uhakikishe kua unakipato??
au nimekosea kukutafsiri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…