Eti why?

KOKUTONA

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2011
Posts
8,651
Reaction score
6,104
When a Lady is pregnant, ALL of the friends will touch her stomach and say CONGRATULATIONS.

But NONE of them will come and touch Man's penis and say WELL DONE.

Why?
 
Kwani tumbo lilihusika kwenye kupeana?

Tumbo linahifadhi na kukuza mtoto, that's where all the important stuff happens. . you can not compare that to that thingyy!!
 
When a Lady is pregnant, ALL of the friends will touch her stomach and say CONGRATULATIONS.

But NONE of them will come and touch Man's penis and say WELL DONE.

Why?

uanze tu kumshika mwanamme mwenzio penis...khaaaa!!
 
Penis ikishikwashikwa inasimama, na haishuki mpaka ipate chakula yake.
 
A great woman gave birth to me,weighing at 10 pounds 6 ounces...By then Mr Penis was hidding inside a certain great man's trousers..I guess that womb deserves almost all the praise..9 months is a long time.
 
Why not compare penis to vagina as opposed to penis and stomach?

yah ilitakiwa afananishe hvyo na c vinginevyo ila tusishangae ndio hawa waliofeli matching item shuleni.
 
Eti stomach kwa maana ya hongera umepata ujauzito, sasa eti na penis ndo ilotoa mbegu why haipewi hongera kwa kusababisha ujauzito?

kama ishu ni kumpongeza mtoaji basi hata mpokeaji so watu wanakosea wanaoshika tumbo ilitakiwa washike vagina waipe hongera km mtindo ndio huo wa kushika nyuchi hizo.
 
Koku,

Unahitaji kuongeza chumvi kidogo....Kuna vitu vikiguswa ni ishara ya kutangaza vita....Dudu ya baba na makalio yake!!

Never ever touch them, especially kama bado unaipenda reception yako!!

Babu DC!!
 
Major Gen Babu umenichekesha sana!
Nahakika huyo mjukuu kakuelewa vilivyo lol
 
Koku,

Unahitaji kuongeza chumvi kidogo....Kuna vitu vikiguswa ni ishara ya kutangaza vita....Dudu ya baba na makalio yake!!

Never ever touch them, especially kama bado unaipenda reception yako!!

Babu DC!!

Nimekuelewa babu yangu, kwa majibu mazuri.

So when you touch those things even for good will, you are in big mess.
 
Katika mazingira ya kule kwenye MMU, unaweza kugusa bwana mkubwa ila siyo uwanja wa uwani....Never never try Koku!!

Ukijaribu lazima hata mimi nigeuke na kutembeza rungu na sime kama jirani zangu wa Tarime!!

Aluuuu, nimekuelewa babu yangu.

I wont do it, nisije nikaharibu mazingira buree.
 
Aluuuu, nimekuelewa babu yangu.

I wont do it, nisije nikaharibu mazingira buree.

Halafu uache kuweka mada kama hizi usiku,

Unaweza kusababisha watu wakalala njaa!

Kalale basi mjukuu wangu ukue zaidi, sawa karungi?

Babu DC!!
 
Halafu uache kuweka mada kama hizi usiku,

Unaweza kusababisha watu wakalala njaa!

Kalale basi mjukuu wangu ukue zaidi, sawa karungi?

Babu DC!!

Ha ha ha ha ha babu, nmechekajee.
Nimekoma, sirudii teena babu wasijelala njaa buree.

Usingizi ndo sina, tatizo la kuwa single, tungekuwa double sidhani km angeniruhusu hdi saa hzi niwe mbele ya screen.
Angeshanivuta bedroom.

Yaani hapa ndo nautafuta usingizi, ukuja tu naenda lala NIKUE eti.
 
Waambie watakapokushika tumba lako
Wamshike na nanii hiyo ya mwenzako

Is utafurahia eeh? Utasikia raha sana na wewe kuona inapewa hongera.
Tena hizo hongera atawakaribisha walipo wawili tu waisalute tena kwa raha zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…