Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
When a Lady is pregnant, ALL of the friends will touch her stomach and say CONGRATULATIONS.
But NONE of them will come and touch Man's penis and say WELL DONE.
Why?
Why not compare penis to vagina as opposed to penis and stomach?
Eti stomach kwa maana ya hongera umepata ujauzito, sasa eti na penis ndo ilotoa mbegu why haipewi hongera kwa kusababisha ujauzito?
Koku,
Unahitaji kuongeza chumvi kidogo....Kuna vitu vikiguswa ni ishara ya kutangaza vita....Dudu ya baba na makalio yake!!
Never ever touch them, especially kama bado unaipenda reception yako!!
Babu DC!!
Koku,
Unahitaji kuongeza chumvi kidogo....Kuna vitu vikiguswa ni ishara ya kutangaza vita....Dudu ya baba na makalio yake!!
Never ever touch them, especially kama bado unaipenda reception yako!!
Babu DC!!
Katika mazingira ya kule kwenye MMU, unaweza kugusa bwana mkubwa ila siyo uwanja wa uwani....Never never try Koku!!
Ukijaribu lazima hata mimi nigeuke na kutembeza rungu na sime kama jirani zangu wa Tarime!!
Babu DC!!
Aluuuu, nimekuelewa babu yangu.
I wont do it, nisije nikaharibu mazingira buree.
Halafu uache kuweka mada kama hizi usiku,
Unaweza kusababisha watu wakalala njaa!
Kalale basi mjukuu wangu ukue zaidi, sawa karungi?
Babu DC!!