Eti Yanga haiwezi kuifunga SIMBA mara mbili mfululizo?

Eti Yanga haiwezi kuifunga SIMBA mara mbili mfululizo?

PD_Magumba

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2021
Posts
722
Reaction score
2,225
SIMBA sasa acheni kujifananisha na Yanga.

Munafosi sana tufanane ila tumewazidi mbali sana kwa ubira.

Tumechukua pointi 6 kwa kuwafunga jumla ya gori 7 nje ndani.

Hivi ni kwa nini mlitamba eti Yanga haiwezi kuifunga SIMBA marambili mfululizo?

Tena tukijumlisha na next season itakua mara 4 mfululizo.

Fanyeni usajiri acheni janjajanja. Ni wakati wa nyinyi kujifunza mengi kutoka kwa YANGA.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
JamiiForums1683832807.jpg
JamiiForums-751034406.jpg
 
Serikali imeamua kuwafariji SIMBA kwa kurejesha Muungano Cup
 
Back
Top Bottom