SIMBA sasa acheni kujifananisha na Yanga.
Munafosi sana tufanane ila tumewazidi mbali sana kwa ubira.
Tumechukua pointi 6 kwa kuwafunga jumla ya gori 7 nje ndani.
Hivi ni kwa nini mlitamba eti Yanga haiwezi kuifunga SIMBA marambili mfululizo?
Tena tukijumlisha na next season itakua mara 4 mfululizo.
Fanyeni usajiri acheni janjajanja. Ni wakati wa nyinyi kujifunza mengi kutoka kwa YANGA.