Eti?!.............

Fidel80 wewe ni mganga wa jadi nini?
Hosp hawawezi toa ushauri kama wako hahahahaha

HAhahaha yeah limao au ndimu ndo njia mbadala kwa huyo mama akinyunyuzia tu kitu kina rudi na kuwa bikra hii njia mbona nimeibiwa sana na nilikuwa najua mtoto bikra kumbe mmmmh
 
Ikatokea siku umeoa (if that day is gonna happen), mkeo akapata watoto, ikawa bahati yako mbaya size imeongezeka huko ikulu, would you run away?

Kwa kesi hii nitaendelea kumpenda maiwifu, nikuwa iwapo itatokea ajali au janga litakalobadilisha hali yake nitavumilia tu ila si kuwa wakati nasaka maiwaifu nikakutana na XXL eti niendelee ku puti apu nalo tu kisa nataka mke ya nini hayo.
 
yanasaidia kurudisha misuli iliyolegea?

nilivyomaliza kujifungua tu doc alinishauri hivyo, na nilijifungua salama lakini misuli c itakuwa ilipanuka ndo akanishauri hivyo, kwa upande wangu imenisaidia,sasa cjui kwa iliyolegea inakuwaje? cna jibu la hakika hapo.
 
Kwa kesi hii nitaendelea kumpenda maiwifu, nikuwa iwapo itatokea ajali au janga litakalobadilisha hali yake nitavumilia tu ila si kuwa wakati nasaka maiwaifu nikakutana na XXL eti niendelee ku puti apu nalo tu kisa nataka mke ya nini hayo.
ndo maana nikasema ukiwa umeoa utaelewa maana nzima ya kuvumilia weakness kama hizi, marriage ni uvumilivu esp kwenye weakness za kila mmoja wenu. hakuna mtu anayependa substandards. hapo kwenye red hapo umenifurahisaha.
 
angekuwa amejifungua kwa njia ya kawaida ningemsaidia ka ushauri mana inaweza ikawa kweli kwamba imepanuka kwa kiac fulani, amejifungua kwa operesheni then mzee anadai haya mhh cna uhakika sana,kuchokana cjui ndio kuanziaga hivi.

Yaani una maanisha kajifungua kwa operation kubwa!Kwa sababu ninavyojua mimi(mwanamama akijifungua kwa mkasi) wanachofanya madaktari ni kuongeza njia kipindi mwanamama anajifungua,kitu kinacholeta sense inaweza kuwa ni chanzo cha njia kupanuka.Wataalamu wanaweza kutusaidia.
 
nahic hata kama akiwa na wa hivyo haitaweza sababisha huyu mr atambue tatizo, atalitambuaje sasa kama hiki kitu kinajirudi chenyewe, nahc mr ana lake jambo...hivi Carmel kwa mfano mr wangu ni size ya kawaida nje nina mwenye large huyu mr wangu atalitambuaje hili kwa ku guess kama nina wa large?
 
Che huyu kafanyiwa ceserian wenyewe wanaita yaani mtoto katolewa kwenye tumbo kwa kupasua tumbo na si kuongezwa njia. Si ndo panaposhangaza!
 
I reaaly dont know, i am just trying to think you know. sijui kama ina effect au vp
 
Che huyu kafanyiwa ceserian wenyewe wanaita yaani mtoto katolewa kwenye tumbo kwa kupasua tumbo na si kuongezwa njia. Si ndo panaposhangaza!

Aisee,mi nafikiri kama alikuwa anataka kuwa na nyumba ndogo ni vizuri jamaa angefanya kimya kimya kuliko kumpa mwenzie maumivu mara mbili.Yaani jamaa katafuta nyumba ndogo tena kwa kukutusi.JAMANI HII DUNIA INA MAMBO.
 
Mimi happa ndipo panaponitatiza huwa ninaamini kunakuwa na tofauti tu ambayo lazima atajajua au? Kwa sababu kama mr anapewa kwa ratiba wakati mwenye XXXL anakula karibu kila siku tena pengine siku nyingine milo miwili (si vya kuiba!) si lazima kutakuwa na alama? Barabara yenyewe tu inatengenezeka kwa kadri gari anayopita mara kwa mara na inatemegea na upana wa gari au ?
 
Che huyu kafanyiwa ceserian wenyewe wanaita yaani mtoto katolewa kwenye tumbo kwa kupasua tumbo na si kuongezwa njia. Si ndo panaposhangaza!

Kwa hiyo unamaanisha huyu mama njia yake ni nyembamba sio? Kwa hiyo huyu mashine yake haiwezi kuchuja mapema au kulegea mapema baba atakuwa anafaidi kila mara kitu kama kipyaaaaa.
 
Yeah huyu mama lazima kuna njemba inamlegeza si bure kaa nae vizuri maana kuna watu wengine bana wana XXXXXL akipita hapo ukija mwenye XL dah lazima ushtuke kama mm naahailisha kabisa gemu mpaka mwakani.
 
Aisee,mi nafikiri kama alikuwa anataka kuwa na nyumba ndogo ni vizuri jamaa angefanya kimya kimya kuliko kumpa mwenzie maumivu mara mbili.Yaani jamaa katafuta nyumba ndogo tena kwa kukutusi.JAMANI HII DUNIA INA MAMBO.

Hili ndo kubwa linaloniumiza mimi! Wa ngapi wanafanya na bado wanawarespect wake zao? Yaani mimi leo nianze tu nitafute serengeti boy halafu nije nimwambie Mr yako imekuwa ndogo siku hizi , huniridhishi so ninaye wa kunuiridhisha!!! Patawaka moto!
 
namaanisha kujifungua bila tatizo lolote, kutumia mkac/kushonwa, mie wanangu nimejifungua bila kuchanika hata kidogo, ndio nilimaanisha hivyo, cjui umenipata?
 
Kwa hiyo unamaanisha huyu mama njia yake ni nyembamba sio? Kwa hiyo huyu mashine yake haiwezi kuchuja mapema au kulegea mapema baba atakuwa anafaidi kila mara kitu kama kipyaaaaa.

wewe ndo unaona hivyo,jamaa si huyo kasepa kwa nyumba ndogo.Na hivi analea,atakuwa anamsikia tuu kwenye bomba.
 
kwahapo nitasema labda maumbile yanatofautiana, kwa mie hata nikimaliza na mr nikiingia kwa bath kujiweka sawa hapo akitaka tena ataanza mwanzo, i mean kama vile alikuwa hajafanya kabisa....upo nami?
 
Kwa hiyo unamaanisha huyu mama njia yake ni nyembamba sio? Kwa hiyo huyu mashine yake haiwezi kuchuja mapema au kulegea mapema baba atakuwa anafaidi kila mara kitu kama kipyaaaaa.

hapana simaanishi hivyo hata kidogo Fidel.

Ninachomaanisha hapa ni kuwa kama ni kweli kuwa njia yake imekuwa kubwa basi aliyeikubwaisha ni huyo huyo mumewe so mume hana haki ya kumtusi.
 
namaanisha kujifungua bila tatizo lolote, kutumia mkac/kushonwa, mie wanangu nimejifungua bila kuchanika hata kidogo, ndio nilimaanisha hivyo, cjui umenipata?[/QUOTE]

kuna tafsiri mbili hapa:
1)njia yako ni kubwa
2)watoto unaowazaa wadogo
 
wewe ndo unaona hivyo,jamaa si huyo kasepa kwa nyumba ndogo.Na hivi analea,atakuwa anamsikia tuu kwenye bomba.

Ok huyu mama si aendelee kulea huyo mtoto mpaka kitu kirudi katika hali yake maana yawezekana bado kubichi kubichi hakujasinyaa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…