Hapo kwenye red ni eneo nililofanyia dissertation yangu ya masters ya sosholojia zamani kidogo, unajua kuna haja ya kujua hizi weakness mnazi identify wakati gani wa mahusiano(kabla ya ndoa, wakati wa harusi au mkiwa katika maisha ya ndoa). Ni kitu complicated kidogo ila kuna masuala ya kujidanganya kuvumilia hizo weaknes mwisho wake ndoa nyingi huvunjika kwa migogoro mikubwa isiyo ya lazima. Nitakupa mfano wa harusi ya kabila kitusi ambayo huchukua takribani mwezi mzima lengo likiwa ni kuzitofautisha hizi weakness kati zile zinazovumilika na zisizo vumilika(kikubwa hapa ni zile za kitabia na kimaumbile) mfano mwanamke anaweza kushindwa kuendelea na ndoa iwapo katika kipindi hiki chote alikuwa akipata maumivu wakati wakijamiiana na mumewe mtarajiwa, hapa haitegemewi eti siku moja mume maumbile yake yatapungua hivyo kuendelea na ndoa hii kunamsababishia maumivu mke na wazee wanaamua kuisitisha ndoa hii, the same kwa wanaume. Kifupi sisi binadamu tuna kipimo cha uvumilivu na kwa bahati mbaya kipo kama thermometer hivyo kero inaweza kuvumiliwa kiwango fulani cha kero kikizidi hulipuka.Njia nzuri ni kujua uwezo wako wa kuhimili hizo kero kabla hujaamua kuishi nazo milele. Kwangu mimi maisha ya ndoa na kukosa furaha hayana thamani kama maisha ya useja na kuwa furaha.So its all depend na hizo weakness umeziona lini au zimetokea lini na chanzo nini, ndio hiyo mambo ya kuzivumilia yanafuata.