Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
huyo jamaa ni mroho tu kila akionacho anataka atajaribu na visivyojaribiwa
Mfano,, ......🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo jamaa ni mroho tu kila akionacho anataka atajaribu na visivyojaribiwa
haha haaaaaaaaaa binamu acha utani, kwani nyama choma hiyo?Hahaha! Inawezekana kweli. Hii mada ya leo sijapata kuona. Kumbe vile vitu huwa vinapanukaga? Mi nilikuwa najuaga viko elastic. Lol! Si ajabu wengine nasikia wanavikanda kwa ndimu na pilipili kwa mbali.
Mumeo ni mzaliwa wako wa kwanza siku zote.... mchukulie alivyo....mtoto akililia wembe mpe tu akishajikata somo litaeleweka.
nilivyomaliza kujifungua tu doc alinishauri hivyo, na nilijifungua salama lakini misuli c itakuwa ilipanuka ndo akanishauri hivyo, kwa upande wangu imenisaidia,sasa cjui kwa iliyolegea inakuwaje? cna jibu la hakika hapo.
Jamani kweli mahusiano ya kimapenzi ni magumu sometimes,
Hii nimeikuta kwenye site moja, mwanamama analalamika kuwa mumewe kamwambia njia yake imekuwa kubwa so she must do something maana hamvutii tena!! na kuwa ameamua kutafuta nyumba ndogo!
Kilichonishangaza kule mie ni kuwa yule mwanamama anadai hajawahi toka nje ya ndoa yake kwa miaka yote mitatu na kuwa wana mtoto mmoja wa miezi minne ambaye alimpata kwa njia ya operation kwa maana hiyo njia haikupata msuko msuko wa kupush.
Sasa najiuliza sipati jibu kama je ni kweli njia imetanuka iwe sababu ya wewe kutafuta nyumba ndogo? katika hali ya kawaida ya mahusiano huyu mume kweli anampenda huyu mkewe? Maana hainiingii akilini kitend alichokifanya
Some Men never cease to amaize me kwa kweli!!
Jamaa anataka mnato ati!.
nikuulize ww maana sijajua kama ushaulizwa. Mumeo akiwa na 'njiti ya kiberiti' utainjoi? Wakati mwingine unahitaji kukunwa vizuri na baba ila hafiki huko. Raha ya 'jamii' uume ubanwe na uke, sasa kama ni lose utam unapelea. Ndio maana wengine 'wanaruka'. Mungu epusha
Umeniuliza mie nami nakujibu. Kwani mziwanda hujawahisikia kuwa size does not matter? Mradi ajue namna ya kuutilize resource yake. So kwa huyu mie ninasema hajui hata namna ya kumridhisha mkewe na pengine mkewe amemvumilia kwa mengi tu - who knows pengine yeye ndo amekuwa mdogo na si mama
huyo jamaa hana lolote anatengeneza mazingira ya kula nje na vile vile mazingira ya kula jicho,inaonekana kashakutana na kichangu mtaani kampatia ile kitu ya sodoma
Umeniuliza mie nami nakujibu. Kwani mziwanda hujawahisikia kuwa size does not matter? Mradi ajue namna ya kuutilize resource yake. So kwa huyu mie ninasema hajui hata namna ya kumridhisha mkewe na pengine mkewe amemvumilia kwa mengi tu - who knows pengine yeye ndo amekuwa mdogo na si mama
Hakupashwa kuyatoa nje au kumweleza mkeo, yeye angetafuta mapozeo nje kimya kimya. Kweli ikiwa kubwa sana utafikiri unaingia kwenye mdomo wa pipa hahaahahahhahaaa! Ladha hamna, una-develop negative feelings towards your mamaa! hapo mapenzi hakuna tena.
he heheee ma ukikuta kiduchu hata kidole cha mtoto kina nafuu huh. sometimes kuonja kabla kuna manufaa sana
Swadakta kuonja muhimu jamani sio mnabaana mpaka siku ya harusi unakuta Mr. anayo kama bamia.
Yap sometimes kuonja kabla ya ndoa kunafaa, japo upande wa dini hairuhusiwi.
Yap sometimes kuonja kabla ya ndoa kunafaa, japo upande wa dini hairuhusiwi.