Karibu mkuu,mchango wako tafadhari
dah, wapwa na mabinamu haya maisha mbona yana kasheshe!
lililo kubwa hapo ni kwamba whether kuna fact la kuwa njia imekuwa kubwa au la, ALIKOSEA big time kufikisha ujumbe ki vile kwa mkewe. kwa hiyo wapwa si alitakiwa arudie communication skills 101.
I mean kuna ile mtu unafikisha ujumbe hata kama ulikuwa na nia njema ila njia unayotumia, inaumiza HISIA za mlengwa wakati mwingine beyond repair.
That said, kuna mambo mengine kwneye 6x6 nadhani yanahitaji kuvumiliana na mengine hayasemwi kabisa. Kama najamba wakati wa kula kidude, akanambia si ajabu hamu ikaniisha from that day!
Sasa huyo mwanamama nadhani kwa sasa anahitaji nasaha tu kwa sababu kwanza inawezekana si kweli kiuwa amekuwa mkubwa ila jamaa yake ameshainja nje na kisaikolojia akaona tofauti akadhani ya mkewe kubwa kumbe hakuna kitu.
Tukumbuke kuwa perception ya size inategemea pia:
-style ya kudungana (kuna style zingine inaonekana tight, nyingine itaonekana kawaida ila inavuta (mnato) , nyingine itaonekana kama imekuwa 'juu juu' kuliko kawaida, nyingine unajisikia hata 'hufiki mwisho' kwa sababu ya 'add ons' kama kichuguu au mapaja.
-kipindi gani katika Menstr. cycle (wakati wa ovulation 'utamu' ni tofauti na wakati wa kawaida kwa uzoefu wangu if u know what I mean, sasa wakati huu huo 'utamu' unaweza kudhani kuwa K imekuwa ndogo au vipi?
-hali halisi ya kifamilia, watoto, hali ya kifedha na kiuchumi kwa ujumla, kwa vile haya yanaharibu kabisa hisia za mapenzi kama hayajakaa vema na hivyo unaweza kumhisi mwenzio kuwa 'sio sawa' kama mwanzoni!