Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Tumeshawapita kwenye utalii, so wamasai, mlima kilimanjaro etc, havina uzito wala nini kwa sasa mnajulikana kwa westgate na al-shabaab, kuchinjana kwenye uchaguzi n.k
2. shamba la bibi ndilo linalowasuluhisha nyinyi "wajanja" mnapopigana kwa ajili ya uchaguzi, hivyo weka heshima. Mkishapigana kwa ukabila wenu mtakimbilia wapi next time?
3. Kuhusu Obama, nyie ndio washamba mlioweka holiday eti mnashangilia ushindi wa Obama, anawahusu? Obama mwenyewe alivyokuja Tanzania cheki mlibaki mnalia eti "kwenyu ni kwenyu"! hahahahaha! Obama kaangalia wapi kwenye maana mkuu.
[video=youtube_share;6XYObsuYEYc]http://youtu.be/6XYObsuYEYc[/video]
Cheki hadi rais wenu anatambua mbuga za maana ziko wapi, ushawahi muona kikwete anakuja kula holiday masai mara au mombasa?
![]()
Cheki watu wazima tunavyokuja kuwasuluhisha "manyangau" msichinjane kwa mambo madogo madogo.
![]()
kijana, Tiizedi iko juu take usitake, we unadhani kudai mlima uko kwenu, au Dar iko kwenu ni nini? siku zote watu duni ndio hujiita majina ya watu wakubwa, mtu atajiita jayZ, Bill gate, Dangote etc, hakuna mtu atajiita Lawmaina! vile vile nchi duni ndio huwa zinajifananisha na nchi kubwa, mfano ndugu zako huwa wanadai eti Kigali ni dubai ya africa etc, hivyo haishangazi nyinyi kujifanya mlima uko "kwenyu", Dar iko "kwenyu"!...maana yake sisi tuko juu!