Tetesi: Etihad Rail kupewa SGR kuiendesha

KIUKWELI:Hakuna namna nyingine SGR LAZIMA iendeshwe na private sector tu. Watumishi wa umma HAWATAWEZA hata kidogo. Tatizo kubwa ni sheria za utumishi wa umma HAZINA UWAJIBIKAJI. ZIKO too slow. Hali hiyo inaifanya sector ya umma ishindwe kufanya kazi za kibiashara zinazohitaji efficiency kubwa. Watu wanamlaumu mama kimihemuko tu bila hoja. Alichokifanya ni sahihi kwa 98%. Utumishi wa umma umeshindwa kuiendesha bandari for so many years.
This is the truth of the matter.
 
Kama unaamini hatuwezi hayo yote, kwa ninina serikali kuu nao wasiondoke wawape private?
 
Sio mbaya kama kuna tija au kama tatizo muarab hilo jambo lengine
 
Tena wasijribu kuianza hiyo bila ya watu wenye uzoefu wa kuendesha train ya umeme.

Ukipita signalling point ya kuweka pembeni kwenye juntion umpishe mwingine zikikutana uso uso kwa misiba yake ni sawa na ajali ya basi 20.

Halafu high speed trains zina stress sana miundombinu inayohitaji uangalizi na checks za mara kwa mara. Uzembe kidogo madhara ni vifo.

Kwa watu wanaoanza kwa mara ya kwanza uhitaji wataalamu wa nje sio optional ni lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…