KIUKWELI:Hakuna namna nyingine SGR LAZIMA iendeshwe na private sector tu. Watumishi wa umma HAWATAWEZA hata kidogo. Tatizo kubwa ni sheria za utumishi wa umma HAZINA UWAJIBIKAJI. ZIKO too slow. Hali hiyo inaifanya sector ya umma ishindwe kufanya kazi za kibiashara zinazohitaji efficiency kubwa. Watu wanamlaumu mama kimihemuko tu bila hoja. Alichokifanya ni sahihi kwa 98%. Utumishi wa umma umeshindwa kuiendesha bandari for so many years.
This is the truth of the matter.
This is the truth of the matter.