Etiii? Eweeeleee! Nipeni maujanja valentaini imenipata nomaaa.

Mdudu Wa Masala

Senior Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
134
Reaction score
79
Wanajamvi,nimebakisha masaa machache sana ili kusherehekea eti valentine day..ya wapendanao kweli ama? Bas ishu nzima ni kuwa nimechelewa kutoka kazi na ktka hali ya kutafta japo kijiuwa cha kupeana kesho nimepata karibia maduka yote yamefungwa..bahat nzur au mbaya sjui nmepata mchuuz mmoja wa maua na ua alobakia nao ni lile lenye dizaini ya msalaba.kwa sana hupachikwa kaburini baada ya kumstiri marehemu.nifanyeje ndugu zangu? Mchuuzi yupo hapa ananisubiri...?????
 
Na wew unataka kumsitir wa kwako siku ya leo!!!labda hilo litakua la kuanzia kwaresma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…