Et'oo vs england teams

Et'oo vs england teams

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
Katika fuatilia kwangu mpira wa miguu(SOCCER) nimeona mchezaji Samuel Et'oo(FILLS) amezifunga timu tatu bora za England
-vs Arsenal fainali ya Ligi ya Mabingwa kule France
-vs Man Utd fainal ya Ligi ya Mabingwa kule Italy
-vs Chalsea raundi ya 16 Ligi ya Mabingwa barani Ulaya
 
Jamaa ana rekodi nzuri Barca walifanya mistake kumuacha na kumsajili Ibrahimovic
 
imemsaidiaaa yeye pia ku maintain kiwango chake..sio mbaya aache acheze italy kwa sasa...muda pia unaenda sanaa.....ajipange kuja kustaafu baada miaka 4
 
Hivi baada ya kushinda alikwenda kusema maneno gani kule kwa mashabiki??...Anazali kweli na timu za Uingereza...ile yanaMAN UTD ilikuwa kufuru kuoneshea Ngozi yake nyeusi kuwa inaweza!! Ngoja tusubirie burudani ya Draw itakavyokwenda on Friday...
 
Mbona timu ya taifa ya Cameroon huwa anaiangusha kama ndugu ya Didier Drogba mie nawaona vibarua wa wazungu tu hawa
 
Mbona timu ya taifa ya Cameroon huwa anaiangusha kama ndugu ya Didier Drogba mie nawaona vibarua wa wazungu tu hawa

Halina ukweli hili inategemeana kwenye timu upo na wachezaji wa aina gani na umezoeana nao vp ukija kwenye timu za taifa hawa wachezaji hawana mda sana wa kukaa pamoja kama kwenye timu zao wanazochezea ulaya.
 
Mbona timu ya taifa ya Cameroon huwa anaiangusha kama ndugu ya Didier Drogba mie nawaona vibarua wa wazungu tu hawa


wanaogopa akiumia ndiyo anakaa benchi kuuguza majeraha na maslahi pia wananangalia
 
Back
Top Bottom