Katika fuatilia kwangu mpira wa miguu(SOCCER) nimeona mchezaji Samuel Et'oo(FILLS) amezifunga timu tatu bora za England
-vs Arsenal fainali ya Ligi ya Mabingwa kule France
-vs Man Utd fainal ya Ligi ya Mabingwa kule Italy
-vs Chalsea raundi ya 16 Ligi ya Mabingwa barani Ulaya
imemsaidiaaa yeye pia ku maintain kiwango chake..sio mbaya aache acheze italy kwa sasa...muda pia unaenda sanaa.....ajipange kuja kustaafu baada miaka 4
Hivi baada ya kushinda alikwenda kusema maneno gani kule kwa mashabiki??...Anazali kweli na timu za Uingereza...ile yanaMAN UTD ilikuwa kufuru kuoneshea Ngozi yake nyeusi kuwa inaweza!! Ngoja tusubirie burudani ya Draw itakavyokwenda on Friday...
Halina ukweli hili inategemeana kwenye timu upo na wachezaji wa aina gani na umezoeana nao vp ukija kwenye timu za taifa hawa wachezaji hawana mda sana wa kukaa pamoja kama kwenye timu zao wanazochezea ulaya.