ETV waungana na WCB, Clouds mtaomba poo mwaka huu!

inawez

ekana mie na watz wengi sana hatusikizi clauds tena mambo ni EFM .......... tanfu kina pj wahame niliwapotezea clauds japo najua huyu mlevi mmoja karudi clauds mie sijarud bado nipo Efm na kina baby mama nawengineo

Kama wewe unasikiliza haimaanishi waTz wote wanaisikiliza...kwanza hiyo Efm nasikiaga tu kwenye mitandao kuwakuna hiyo radio station,lakini huku bado sijawahi isikia...labda wanapatikana Dar tu na mikoa ya pwani tu,nadhani bado clouds fm wapo juu na wana fanbase kubwa na watangazaji wao wako creative na talented sana...
 
Hizi TV na radio mpya hazijui kuwa kujilinganisha au kuonyesha kupambana na Clouds, inawapaisha sana kibiashara Clouds na wao kuonekana ni vyombo visivyojiamini. Jiulize kwanini Clouds wana matangazo mengi sana ya biashara kila kipindi?
 
Hizo radio ziko mkoa gani kwani!! Mie najua tuu radio one!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…