Wewe Tz sio nchi ya uoga uoga hatutetemekei mtu,lakini huyo Balozi hajafukuzwa ameitwa na wakuu wake kuhojiwa.Tanzania kamu surore. Come slowly, mtapigwa sactions na E.U hamtaweza kununua wala kuuza chochote katika soko la dunia.
Wewe kumbe Tanzania bado hujaijua vizuri, huyo ni watatu kufurushwa.Tanzania kamu surore. Come slowly, mtapigwa sactions na E.U hamtaweza kununua wala kuuza chochote katika soko la dunia.
Wewe hata kuandika hujui.EU ambassador to Tz Roeland Van nda Geer was ejected from Tanzania over report of a fallout with authorities in Dar.
Credidle sources told the Citizen newspaper that Roeland was given an ultimatum to leave the country by this(Saturday) morning...,
(News by the Citizen newspaper tz).
My take; lazima hiyu jamaa kaawambia propagandists CCM ulweli fulani, of which iliwashika pabaya., hawa watu hawapendi ukweli, they exist and servive on propaganda toka mwanzo. It will yake Tanzanians ages kujilwamua kwa pepo la CCM. Poleni watani.
Ila wewe unalambwa tako, au sio mkuu.Wewe kumbe Tanzania bado hujaijua vizuri, huyo ni watatu kufurushwa.
Ukisikia maskini jeuri ndio sisi hatulambi tako la mzungu kama nyie
Wangesha weka sanctions siku nyingi sana. Huyo ni watatu ndani ya miaka mitatu. Hivi kwanini China imeweza kuwazingua kisa ishu ndogo ya samaki wakati Tz tumesha wazingua mara kibao ila wame ufyata! Tz inajulikana kwa misamo yake toka enzi za Nyerere ni nchi yenye misimamo thabiti na siyo ya kukurupuka na kushabikia wenye pesa.Tanzania kamu surore. Come slowly, mtapigwa sactions na E.U hamtaweza kununua wala kuuza chochote katika soko la dunia.
Wewe hata kuandika hujui.
Unahitaji huruma.
Wangesha weka sanctions siku nyingi sana. Huyo ni watatu ndani ya miaka mitatu. Hivi kwanini China imeweza kuwazingua kisa ishu ndogo ya samaki wakati Tz tumesha wazingua mara kibao ila wame ufyata! Tz inajulikana kwa misamo yake toka enzi za Nyerere ni nchi yenye misimamo thabiti na siyo ya kukurupuka na kushabikia wenye pesa.
Tanzania kamu surore. Come slowly, mtapigwa sactions na E.U hamtaweza kununua wala kuuza chochote katika soko la dunia.
Wewe Tz sio nchi ya uoga uoga hatutetemekei mtu,lakini huyo Balozi hajafukuzwa ameitwa na wakuu wake kuhojiwa.
Wangesha weka sanctions siku nyingi sana. Huyo ni watatu ndani ya miaka mitatu. Hivi kwanini China imeweza kuwazingua kisa ishu ndogo ya samaki wakati Tz tumesha wazingua mara kibao ila wame ufyata! Tz inajulikana kwa misamo yake toka enzi za Nyerere ni nchi yenye misimamo thabiti na siyo ya kukurupuka na kushabikia wenye pesa.
Chama Cha Mafisi.Ccm ni chama cha mapinduzi ,chama cha maendeleo ama yamaanisha nini?
LDC ambayo ina attract FDI mara mbili ya Kenya na moja ya uchumi unao kuwa kwa haraka zaidi Africa. Tell us what makes Kenya a failed state?Endeleeni kucheza na moto. What you guys are looking for mtapata. This type of primitivity is what makes Tz a poor LDC nation.
Yule mchina kwanini mlimfukuza! Sasa Tz inaenda mbali zaidi ata ukiwa na status gani utafurumushwa tu.Msimamo wa CCM, na sio wa Tanzania nzima, ni eti hawapendi kuambiwa ukweli; uliza wana habari, wanasiasa wapinzani, na raiya wenye objective mindset, sio wenye kupumbazwa ovyo ovyo. When you point a finger at a problem, watasema hauna uzalendo, ukijaribu kurekebisha ama kukosoa jambo unaeza pata tabu sana. Ukweli usemwe.