EU Envoy atimuliwa Tanzania kwa kitoelewana na CCM govt.

Don YF

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2014
Posts
10,494
Reaction score
9,854
EU ambassador to Tz Roeland Van nda Geer was ejected from Tanzania over report of a fallout with authorities in Dar.
Credidle sources told the Citizen newspaper that Roeland was given an ultimatum to leave the country by this(Saturday) morning...,
(News by the Citizen newspaper tz).
My take; lazima hiyu jamaa kaawambia propagandists CCM ulweli fulani, of which iliwashika pabaya., hawa watu hawapendi ukweli, they exist and servive on propaganda toka mwanzo. It will yake Tanzanians ages kujilwamua kwa pepo la CCM. Poleni watani.
 
Wewe hata kuandika hujui.

Unahitaji huruma.
 
Tanzania kamu surore. Come slowly, mtapigwa sactions na E.U hamtaweza kununua wala kuuza chochote katika soko la dunia.
Wangesha weka sanctions siku nyingi sana. Huyo ni watatu ndani ya miaka mitatu. Hivi kwanini China imeweza kuwazingua kisa ishu ndogo ya samaki wakati Tz tumesha wazingua mara kibao ila wame ufyata! Tz inajulikana kwa misamo yake toka enzi za Nyerere ni nchi yenye misimamo thabiti na siyo ya kukurupuka na kushabikia wenye pesa.
 
This section is Kenyan news, but I know Kenyans are few here in comparison to Bongolalas ambao wanakesha hapa sana, so am really trying to lower myself to the level of your country men, its not easy man. Bora kieleweke.
Wewe hata kuandika hujui.

Unahitaji huruma.
 
Msimamo wa CCM, na sio wa Tanzania nzima, ni eti hawapendi kuambiwa ukweli; uliza wana habari, wanasiasa wapinzani, na raiya wenye objective mindset, sio wenye kupumbazwa ovyo ovyo. When you point a finger at a problem, watasema hauna uzalendo, ukijaribu kurekebisha ama kukosoa jambo unaeza pata tabu sana. Ukweli usemwe.
Wangesha weka sanctions siku nyingi sana. Huyo ni watatu ndani ya miaka mitatu. Hivi kwanini China imeweza kuwazingua kisa ishu ndogo ya samaki wakati Tz tumesha wazingua mara kibao ila wame ufyata! Tz inajulikana kwa misamo yake toka enzi za Nyerere ni nchi yenye misimamo thabiti na siyo ya kukurupuka na kushabikia wenye pesa.
 
Mnajifanya kujua mingi na Kumbe nyinyi ni economic dwarfs. Mnafaa kujua kuna mahali ubongolala haupelekwi. Sasa mnatarajia investors wakuje Tz kutafuta nini if this is how you treat others.
Wewe Tz sio nchi ya uoga uoga hatutetemekei mtu,lakini huyo Balozi hajafukuzwa ameitwa na wakuu wake kuhojiwa.
 
Usipoelewana na CCM una kasoro katika ubongo wako
 
Endeleeni kucheza na moto. What you guys are looking for mtapata. This type of primitivity is what makes Tz a poor LDC nation.
Wangesha weka sanctions siku nyingi sana. Huyo ni watatu ndani ya miaka mitatu. Hivi kwanini China imeweza kuwazingua kisa ishu ndogo ya samaki wakati Tz tumesha wazingua mara kibao ila wame ufyata! Tz inajulikana kwa misamo yake toka enzi za Nyerere ni nchi yenye misimamo thabiti na siyo ya kukurupuka na kushabikia wenye pesa.
 
Msimamo wa CCM, na sio wa Tanzania nzima, ni eti hawapendi kuambiwa ukweli; uliza wana habari, wanasiasa wapinzani, na raiya wenye objective mindset, sio wenye kupumbazwa ovyo ovyo. When you point a finger at a problem, watasema hauna uzalendo, ukijaribu kurekebisha ama kukosoa jambo unaeza pata tabu sana. Ukweli usemwe.
Yule mchina kwanini mlimfukuza! Sasa Tz inaenda mbali zaidi ata ukiwa na status gani utafurumushwa tu.
 
Back
Top Bottom