Maneno wala hayaogopi! CCM haiohopi maneno, dikiteita hawaogopi maneno...usiwe emotional, mambo kama haya hayataki hasira, nenda gym kama una membership mahali au hata hata kimbia tu kidogo na itakusaidia. mambo yanakwenda vizuri sana tu hauooni wanavyohangaika kila mahali leo hii yuko KCMC anajaribu kufanya divide and rule i.e kugeuza RC vs KKKT lkn hatoweza kwa maana KKKT ni member wa jumuiya ya KKKT duniani Ujerumani, Sweden mpaka USA. KKKT is the second largest Lutheran congregation in the world after United States and namba 1 in afrika, hivyo KKKT ni global btw maduro alichukuwa power 2013 amekuja kushikwa 2026, hivyo watakimbia, wataleta kejeli na jeuri lkn records zipo na watalipa tu ...
too much useless is equal to nonsense 🐒Sawa ni kazi nzuri wanaifanya EU, lkn maneno maneno, vikao hawa watu hawayaogopi! Wanaogopa kufa ingawa wao wanaua! madikiteita wanataka vitendo.
Madulo asingelitoka bila vitendo, maana USA imemesema sana....aiwadharau maana maneno hayaunguzi nyumba.
Maneno wala hayaogopi! CCM haiohopi maneno, dikiteita hawaogopi maneno...
KKKT ni machawa, everyone knows that! Hao wanatafuta matunzo ya wake na watoto, lazima wawe chawa .
Next time tumia lugha ya staa
I make reservations today, next time nitakuibukia!
Hii ensure wazungu waipush ipelekwe ICC tu kama kweli wako seriousSawa ni kazi nzuri wanaifanya EU, lkn maneno maneno, vikao hawa watu hawayaogopi! Wanaogopa kufa ingawa wao wanaua! madikiteita wanataka vitendo.
Madulo asingelitoka bila vitendo, maana USA imemesema sana....aiwadharau maana maneno hayaunguzi nyumba.
It gotta start somewhere! And escalate to the next stages!Sawa ni kazi nzuri wanaifanya EU, lkn maneno maneno, vikao hawa watu hawayaogopi! Wanaogopa kufa ingawa wao wanaua! madikiteita wanataka vitendo.
Madulo asingelitoka bila vitendo, maana USA imemesema sana....aiwadharau maana maneno hayaunguzi nyumba.