EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Aliyewaambia mkatafute misaada yenye masharti ya hovyo ni nani? Si mnasema nchi huru kubalini kukosolewa au jitieni vichwa maji mkose misaada
 
Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,

Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
QUOTE OF THE WEEK: "Nukupe mshahara mzuri, nyumba , usafiri, halafu uchague mpinzani....." Kuanzia hapo, serikali za mitaa 2019 ni CCM tupu, uchaguzi mkuu 2020 Wakurugenzi wanakimbia fomu za WAPINZANI, kupita bila kupingwa kukashamili CCM, bunge likageuka la Chama kimoja, mikutano ya hadhara ikawa CCM tu, WAPINZANI hata wakifanya jogging, Polisi Hawa hapa, kubambikwa kesi wapinzani k ukashamiri....Kwa haya , jumuia ya KIMATAIFA ikae kimya?
 
Tutasimamia sheria na taratibu tulizojiwekea kwa gharama zote.

Kama MWANACCM SABAYA YUKO JELA MBOWE NI NANI MBELE YA SHERIA?
USISEME MWANA CCM, SEMA jambazi, ushahidi wa wazi umetolewa. Mashahidi muhimu kesi ya Mbowe wameishia kutoa ushahidi wa kuharibika kwa gari njiani, ukamataji, ulaji wa supu na MO energy tu, hakuna aliyetoa ushahidi wa ugaidi.
 
EU yajibu kuwa inaridhika na mwelekeo wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kisiasa na kiuchumi na itaendelea kutoa misaada Tanzania


Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje ya Bunge la Ulaya azidi kuikomalia awamu ya sita ya utawala wa CCM kuendeleza yale ya awamu ya tano yasiyovumilika


Source :
 
mbowe sio malaika na anaweza kukosea ila kwa ujinga unaoendelea kwenye hii kesi ni mpumbavu pekee anaweza kuunga mkono ujinga ule
Mtaje kabisa mtoa mada ni mmoja wa kundi Hilo la wapumbavu wasioelewa.
 
Kesi iliyompeleka Sabaya mahakamani ni kuhusiana kupambana na Mbowe au ni upumbavu wake wa kulewa madaraka?

Tukubali tusikubali, viongozi wa Africa wanaishi kwa visasi sana. Africa tumekua na uongozi ambao aliyeko madarakani anatumia nguvu ya madaraka aliyonayo kuwaumiza wapinzani wake. Hii ndio inasababisha hawa wa nje watuingilie na kuzungumza.

Waoneshe vifaa walivyokamata ambavyo vingetumika kwenye huo ugaidi wanaosema ungetendwa na Mbowe na wenzake. Kila siku mahakamani ni makaratasi, mara ya polisi, mara kutoka tigo, etc.

Watuoneshe chainsaw ambazo zingetumika kukata miti, watuoneshe vilipuzi, watuoneshe silaha za kivita walizokua nazo hawa magaidi. Hata picha ya hivyo nilivyovitaja. Hapa tutaamini hawa ni magaidi na si huu upumbavu unaoendelea mahakamani.

Unaleta tu ushahidi kwamba uliwakamata magaidi Rau Moshi, wakiwa na bastola na dawa za kulevya. Ukawaleta Dar na wanaendelea na kesi. Nje ya bastola ni silaha gani nzito ya kigaidi waliyokua nayo.

Inaudhi sana.
 
Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,

Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
Kama CDM haikufa kipindi kigumu sana cha JPM sioni ikifa tena my friend get used to that fact.
 
jamaa umepaniki kama vile EU inakimwagia mboga na ugali kabisa.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…