Hivi bakuli limerudi?Tukubali tu hakuna jinsi ya kukataa mapendekezo yao maana tunatembeza bakuli kilasiku na hayo ndio madharayake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi bakuli limerudi?Tukubali tu hakuna jinsi ya kukataa mapendekezo yao maana tunatembeza bakuli kilasiku na hayo ndio madharayake.
Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua
Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,
Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?
CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?
CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?
Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya
Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi
Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia
Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe
Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?
Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania
Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?
Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?
CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii
Mnatuumiza sana sisi watu wa chini
Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu
Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers
Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu
Plze Brothers & Sisters STOP IT
WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.
Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe
View attachment 2030228
View attachment 2030229
Uamuzi wa kupokea majibu lumumba?Acheni mahakama itoe uamuzi,
Tatizo anajifanya kutetea kitu kilichokuwa hakina uhalisia.Umeme na maji yamewashinda Mmebaki na siasa za hila na Hadaa, sasa hapo unataka hoja gani tena?
Kama wew sio Kingai basi Ni mtoto wa Kingai. Wakati ukifika na lile kundi lako la mahita na Good luck nanyi mtaonja utamu wa kuwa jera washenzi.Mtaona kwa hili la Mbowe ili muamini We are free state indeed
Uhuru wa makaratasi MATAGA! Pole sana nchi huru zinahesabika dunianiNchi hii ni huru,
QUOTE OF THE WEEK: "Nukupe mshahara mzuri, nyumba , usafiri, halafu uchague mpinzani....." Kuanzia hapo, serikali za mitaa 2019 ni CCM tupu, uchaguzi mkuu 2020 Wakurugenzi wanakimbia fomu za WAPINZANI, kupita bila kupingwa kukashamili CCM, bunge likageuka la Chama kimoja, mikutano ya hadhara ikawa CCM tu, WAPINZANI hata wakifanya jogging, Polisi Hawa hapa, kubambikwa kesi wapinzani k ukashamiri....Kwa haya , jumuia ya KIMATAIFA ikae kimya?Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,
Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
USISEME MWANA CCM, SEMA jambazi, ushahidi wa wazi umetolewa. Mashahidi muhimu kesi ya Mbowe wameishia kutoa ushahidi wa kuharibika kwa gari njiani, ukamataji, ulaji wa supu na MO energy tu, hakuna aliyetoa ushahidi wa ugaidi.Tutasimamia sheria na taratibu tulizojiwekea kwa gharama zote.
Kama MWANACCM SABAYA YUKO JELA MBOWE NI NANI MBELE YA SHERIA?
EU yajibu kuwa inaridhika na mwelekeo wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kisiasa na kiuchumi na itaendelea kutoa misaada Tanzania
Mtaje kabisa mtoa mada ni mmoja wa kundi Hilo la wapumbavu wasioelewa.mbowe sio malaika na anaweza kukosea ila kwa ujinga unaoendelea kwenye hii kesi ni mpumbavu pekee anaweza kuunga mkono ujinga ule
Acheni Ushama,Mtaje kabisa mtoa mada ni mmoja wa kundi Hilo la wapumbavu wasioelewa.
Kama CDM haikufa kipindi kigumu sana cha JPM sioni ikifa tena my friend get used to that fact.Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,
Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
Tulia kama moja mbona mnapaniki?Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,
Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
trueKama CDM haikufa kipindi kigumu sana cha JPM sioni ikifa tena my friend get used to that fact.
Hapa ndipo mlipo na matatizo.. Elimu, hampendi kujiongeza na kusoma taarifa mbalimbali.Bajeti yetu 91.8% ni pesa yetu, Hata hili hujui?
Leo analala na viatu.Jamaa ameongea Kwa uchungu sana!