EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Kama Mahakama ilitenda haki kwa Lengai Ole sabaya hakika itatenda haki kwa Freeman Mbowe,

No One is above The Low
Hey Great Thinker, Low will always remain low and most of us are above low.
Are you truely a Great Thinker?
 
Mbona alipofungwa Sabaya hamkusema mahakama hazipo huru kwa mbowe ndio inaonekana haipo Hutu?
 
Jamaa huwa nakuheshimu ila hii ni pumba sana
 
Lazima tuondokane na huu up.umbavu wa kukamata watu hovyo, kuwatengenezea mashtaka bandia yanayowatesa mahabusu, halafu kwa upumb.avu ule ule, tunatoka na kusema kesi ipo mahakamani, tusubiri mahakama itaamua. Ni lazima nchi iongozwe na watu wenye akili timamu, watu wenye dhamira njema, na wenye uadilifu, na siyo kama ilivyo sasa.

Polisi ni lazima iongozwe na watu wenye akili timamu, wenye maadili na dhamira njema. Siyo watu wa aina akina Kingai, Mahita, Goodluck na Jumanne, watu wenye hulka zote za ujambazi.

Kesi hizi za kutengenezwa, hata kama mahakama baadaye ikakuona huna hatia, lakini hawa wapu.mbavu watakuwa wamefanikiwa kukutesa na kukupotezea muda. Hili, watu wote wenye akili timamu, uelewa na dhamira njema, tulipinge kwa nguvu zote.
 
Chadema ni genge la wahuni wenye kutaka kushika dola
TUNAHITAJI WAHUNI WAPYA WATAKAOENDANA NA KIZAZI HIKI KULIKO HAO WAHUNI WENU WA KIZAMANI WANAOTUMIA MAMBINU YA KIZAMANI KAMA KUTESA KUUA NA KUBAMBIKIA WATU MAKESI YA HOVYO HOVYO!
 
Chadema ni jamii Frani ya nyoka yenye vichwa viwili ,hawangalii madhara yanayoweza kuwapata Watanzania hasa WA kipato cha chini ,wao ni kubwatuka tuuu.Wanasheria Bora na wabobezi Wapo chadema Sasa wanaogopa nini .kesi IPO Mahakama pambaneni vidume
Polee sana, hoja za watoto wa chekechea hazikeshi
 
Jamaa huwa nakuheshimu ila hii ni pumba sana
Sijawahi kuomba heshima kwa majizi yoyote ya kura. Hivyo usitegemee nasubiri heshima yoyote toka kwako. Tutaunga mkono yoyote, kama weusi wa Afrika kusini walivyotuunga mkono tulipowapa msaada wa hali na mali, ili kuwang'oa makuburu huko kusini mwa Afrika.
 
Mkuu umeandika vizuri ila sio sahihi,

Hebu tuiache Mahakama ifanye kazi yake,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…