Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nawewe unajifanya kututetea?Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua
Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,
Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?
CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?
CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?
Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya
Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi
Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia
Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe
Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?
Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania
Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?
Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?
CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii
Mnatuumiza sana sisi watu wa chini
Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu
Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers
Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu
Plze Brothers & Sisters STOP IT
WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.
Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe
View attachment 2030228
View attachment 2030229
Uhalifu amemfanyia mamako?Wahalifu ni wahalifu tu
Waliompiga Lissu risasi wameshakamatwa?Chamadema ni watu wasiojali masilahi ya nchi hata kidogo pacha,
Leo Lissu anafanya nini Ubelgiji wakati Magufuli aliyetuaminisha alitaka kumuua alishakufa?
Leo Lemma anatafuta nini Canada?
Leo Wenje anatafuta nini Ulaya?
Leo Ngurumo anatafuta nini huko?
Watanzania tugutuke
Unaweza kuthibitisha hili chief?Hivi vijana wa CCM huwa mna makamasi kichwani badala ya ubongo?
Unahitaji PhD kujua kuwa Tanzania ndani ya miaka 60 ya uhuru chini ya uongozi wa CCM imeshindwa kuwa huru ndiyo maana nchi inategemea misaada kutoka kwa mabeberu ili iweze kujiendesha?
Kwa hiyo unahitaji kwenda chuo kikuu ili ukajifinze kuwa Tanzania siyo free state kwa sababu haiwezi kujiendesha bila wale mnaowaita mabeberu?
Unawajua?Waliompiga Lissu risasi wameshakamatwa?
Hawajasema ni ya MCHONGO kama ambavyo nimesikia kwenye vyombo vya habariWamepeleka taarifa kuwa wamebaini mashtaka dhidi ya Mbowe hayana Legal basis!
Usijitoe ufahamu wewe nyumbu,kila leo mnatembeza bakuli kwao mkiambiwa ukweli mnawaita mabeberu.Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua
Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,
Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?
CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?
CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?
Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya
Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi
Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia
Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe
Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?
Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania
Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?
Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?
CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii
Mnatuumiza sana sisi watu wa chini
Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu
Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers
Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu
Plze Brothers & Sisters STOP IT
WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.
Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe
View attachment 2030228
View attachment 2030229
Sisi tunajua kesi ipo mahakamani na bado mahakama haijathibitisha kuwa mbowe alifanya ugaidi, wewe kwenye bandiko lako unasema mbowe amefanya ugaidi. Je unaweza kututhibitishia hapa bila kuacha shaka ni ugaidi upi huo mbowe aliufanya?Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,
Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
Yule auwaye kwa upanga, naye atajwawa kwa upanga. Kwa kadiri mtu anavyowatendea wengine uovu, kuonea, kunyanyasa, kupindisha haki, naye itafika muda wake wa kutendewa hivyo hivyo.Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua
Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,
Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?
CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?
CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?
Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya
Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi
Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia
Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe
Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?
Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania
Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?
Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?
CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii
Mnatuumiza sana sisi watu wa chini
Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu
Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers
Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu
Plze Brothers & Sisters STOP IT
WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.
Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe
View attachment 2030228
View attachment 2030229
Kuthibitisha jambo gani chief?Unaweza kuthibitisha hili chief?
Mahakama hii ambayo jaji mkuu anaagiza maamuzi yafanyike kwa kuangalia upepo wa nchi?? Jaji anayesikiliza kesi anapewa uteuzi kuwa jaji kiongozi na mteule wake anakuwa ni mtu aliyechukua upande kuhusu kesi tayari?Wacha tuiache Mahakama ifanye kazi yake
Wewe utakuwa na matatizo siyo bureSawa kada unayetetea Ushoga
Wewe unaonekana umesahau ubongo wako upo kwenye shelf ipi walipoupakua wakati unaingia ccm. Kama wewe umefuatilia hiyo kesi huwezi kuandika uzi mrefu kama huu wenye hoja za kisengerema hivo. Mnabambikia watu kesi za ajabu, watu wakiongea mnakurupuka kuleta hoja zisizo na mashiko hapa. Mnalilawiti taifa halafu unasema sovereignty? Sovereignty ya nyoko....Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa
Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu
Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua
Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,
Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?
CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?
CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?
Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya
Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi
Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia
Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe
Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?
Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania
Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?
Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?
CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii
Mnatuumiza sana sisi watu wa chini
Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu
Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers
Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu
Plze Brothers & Sisters STOP IT
WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.
Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe
View attachment 2030228
View attachment 2030229
Haha! wachumia tumbo buana! Unaambiwa tungeishi kwa kusikilizana wenyewe kwa wenyewe tungefika hapa? Kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwako huyo Mbowe ana hatia gani?Tutasimamia sheria na taratibu tulizojiwekea kwa gharama zote,
Kama MWANACCM SABAYA YUKO JELA MBOWE NI NANI MBELE YA SHERIA?
Am telling you kwa Ujinga huu hamfiki mbali nyie jamaa,
Kweli Tanzania ya Samia hakuna demokeasia? Serious!!!!??
Ccm ndiyo ina uchungu? Miaka 60 bado nchi changa. Mnatembeza mabakuli kwa hao hao mabeberu halafu mnajifanya mna uchungu na nchi? Mmeibemenda nchi halafu mnaleta Kiswahili murefuuu?CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,
Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Chadema katu haiwezi kufa kibudu bro, mwambie hangaya aruhusu mikutano ndio utajua imekufa au ipo hai alishindwa yule baradhuri watakuwa hawa wengine??endeleeni kuiogopa katiba mpya kama ukoma ikipatikana mmeisha.CHADEMA hamjawahi kuwa na Uchungu kwa Taifa lenu hata maramoja,
Ndio maana lichama linakufa kibudu,
Mbowe sio Malaika tuipe muda mahakama italeta ukweli woteHaha! wachumia tumbo buana! Unaambiwa tungeishi kwa kusikilizana wenyewe kwa wenyewe tungefika hapa? Kwa dhati kabisa kutoka moyoni mwako huyo Mbowe ana hatia gani?
Kwa hulka na utulivu wetu watanzania hili taifa ni jepesi sana kuongoza. Tulipaswa kuwa mbali sana tungekua na chama makini.
Nyinyi CCM ndio waharibufu wa hili taifa ndio maana tunayaoona yanayoendelea. Mngeweka maslahi ya watu mbele wala tusingefika hapa.
Huna uzalendo wowote na unafanya yote kwa maslahi ya tumbo lako na magenge ya chama chako.