EU kutaka kesi ya Freeman Mbowe ifutwe hawajui kuwa Tanzania is a free State?

Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu

Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua

Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,

Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?

CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?

CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?

Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya

Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi

Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia

Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe

Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?

Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania

Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?

Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?

CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii

Mnatuumiza sana sisi watu wa chini

Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu

Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers

Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu

Plze Brothers & Sisters STOP IT

WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.

Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

View attachment 2030228

View attachment 2030229
Sasa unalia nini kama "TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,."
Endelea kusima.ia unachokiamini na iache EU iendelee na taratibu zake.
 
Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya nje ya Bunge la Ulaya azidi kuikomalia awamu ya sita ya utawala wa CCM kuendeleza yale ya awamu ya tano yasiyovumilika

Source :

Sikiliza hapa.
 
Attachments

  • VID.mp4
    15.5 MB
Nawapia. Njaa mbaya Sana kwa kesi ya Mbowe kuna mtanzania mwenye akili timamu anakataa ile kesi ni magimashi?
 
Kama CHADEMA tangu iasisiwe miaka 32 imeongozwa na ndugu wawili tu,

Edwin Mtei
Freeman Mbowe

Unataka Udicteta gani?
 
Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu

Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua

Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,

Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?

CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?

CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?

Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya

Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi

Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia

Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe

Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?

Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania

Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?

Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?

CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii

Mnatuumiza sana sisi watu wa chini

Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu

Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers

Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu

Plze Brothers & Sisters STOP IT

WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.

Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

View attachment 2030228

View attachment 2030229
Wewe jamaa..umeandika kama mtoto wa darasa la pili. Yaani Ninyi ndy mnaiua chama la Mwalimu JK Nyerere. Mnashindwa kusimamia misingi ya utu,mshikamano na upendo miongoni mwa wananchi. Mnaandika vitu vya takataka..lakin Ninamashaka sana kama mliosoma Politics, philosophy, and civilization. Kwenye Politics hakuna unafiki kule ni sera. Na sera makin ndy maisha ya watu katika nchi yao. Pamoja na kuwakemea wanoakupeni misaada inayowapa viburi bado mumesahau kuwa Misaada yao hutegemea democracy na misingi ya haki ambayo Serikali inaexercise!!Tengeneza maneno ya kujenga nchi!!
 
CHADEMA ACHENI KULIHUJUMU TAIFA KIMATAIFA,

HILI LITAWAGHARIMU WAKATI WOTE
 
Katika kitu ambacho mabeberu hawajali ni demokrasia katika nchi za Africa. Ukitaka nchi ipigwe pini na mabeberu labda iingilie maslahi yao ya kiuchumi au izuie ushoga. Ila hayo ya demokrasia ni propaganda tu kwao.
Ulikuwa sahihi sana mkuu wangu,CHADOMO Wameangukia pua,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Katika kitu ambacho mabeberu hawajali ni demokrasia katika nchi za Africa. Ukitaka nchi ipigwe pini na mabeberu labda iingilie maslahi yao ya kiuchumi au izuie ushoga. Ila hayo ya demokrasia ni propaganda tu kwao.
fact
 
Tanzania ni nchi huru tena Uhuru wake ni wa miaka sitini (60) sasa

Tanzania kama zilivyo nchi nyingine za EU inayo sheria,kanuni na taratibu za kuongoza watu wake ili waishi na kujiletea maendeleo yao kwa amani na Utulivu

Freeman Mbowe na wenzake wanatuhumiwa kutenda kosa la Ugaidi na kesi inaendelea Mahakamani tena mfululizo hili dunia inajua

Utawala wa Sheria duniani kote ikiwemo EU unatamka kuwa "Hakuna aliyejuu ya Sheria " No one is above the law,

Je! Can't it be applied to Mr Freeman Aikaeli Mbowe?

CHADEMA mnataka kusema Freeman Mbowe kwa kuwa ni Mkt wa Chama chenu hawezi kutenda kosa?

CHADEMA na EU mnataka kusema Freeman Mbowe ni malaika wa nuru asiyeshawishika wala kutenda kosa?

Tunafahamu bifu kubwa lilokuwepo baina ya aliyekuwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya

Miamba hii miwili ya kisiasa ilikuwa ikipimana nguvu pale Wilaya ya Hai kwa njia halali na zisizo halali,Hili wote tunalijua na CHADEMA mnalijua zaidi

Tukubaliane kuwa njia alizotumia Freeman Mbowe kutaka kumdhibiti Lengai Ole Sabaya ziliwafanya Mbowe na Sabaya kuvunja Sheria za nchi na wanaoweza ku-approve au ku-disapprove hili ni mahakama pekee kama chombo cha juu kabisa cha kutoa haki na wala sio Rais Samia

Kitendo Cha CHADEMA kuanza kuisiliba nchi yao kimataifa licha ya Juhudi kubwa zinazofanywa na Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan katika kuirejesha nchi kidiplomasia halikubaliki na halitakubalika kamwe

Tujiulize, CHADEMA wanaogopa nini kama kweli Freeman Mbowe hana hatia Mbele ya Sheria?

Sote tunafahamu, CHADEMA ndio Chama chenye Mawakili wengi na nguli wa Sheria hapa Tanzania

Je? wamekwama wapi au nawao wamebaini ni kweli mteja wao anamakosa wanaamua kuigeuzia kesi hii Kisiasa kisa Freeman Mbowe ni mwanasiasa?

Kwanini leo wakimbilie kulichafua Taifa Kimataifa hata kabla ya hukumu yenyewe? Nini kimewasibu kwenye jicho la Sheria?

CHADEMA acheni kulichafua Taifa letu Kimataifa,mlisingizia Magufuli Leo tena Samia lazima mtambue Sisi hatuna nchi nyingine zaidi ya hii

Mnatuumiza sana sisi watu wa chini

Sisi hatuna uwezo wa kuishi huko Ughaibuni Ubelgiji,Canada wala Scotland kama ninyi na familia zenu

Mnanenepa na kung'aa kuwazidi hata Wazungu kwa gharama za nchi yenu hakika hii ni mbaya sana brothers

Hiyo misaada mnayotaka tunyimwe na EU ndio inawafanya watoto wa Shangazi zenu wajengewe madarasa elfu 15 na Rais Samia Suluhu

Plze Brothers & Sisters STOP IT

WAAMBIENI "EU" TUTASIMAMIA SHERIA ZETU KWA GHARAMA YEYOTE,TAIFA HILI NI KUBWA KULIKO MISAADA YA EU,.

Pia, soma=> Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisiasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe

View attachment 2030228

View attachment 2030229

Daah
 
Back
Top Bottom