Barbarosa i told you i will never engage you!! You are never rational in any of your posts ....keep the distance
chipsi mayai wameongeza bei. hivi huoni mjamaa ana njaa, ata engage vipi na tumbo/debe empty. tumchangie angalau ale kitu cha kujifariji leo.Barbarosa i told you i will never engage you!! You are never rational in any of your posts ....keep the distance
Barbarosa i told you i will never engage you!! You are never rational in any of your posts ....keep the distance
kwa hivyo kulingana na wewe, magadi soda ina dhamani kuliko almasi au dhahabu??Hata Kenya pia wamesaini mining contracts nyingi tu na Wazungu ambapo nchi ya Kenya haipati chochote zaidi royalties, tena Kenya Wazungu ndiyo wamekuwa wakiiba rasilimali since beginning of time, Mzungu anachukuwa magadi soda kwa miaka zaidi ya 100 ktk Kenya bila kulipia chochote, Titanium inachimbwa Kenya kwa miaka mingi hakuna kitu Mzungu analipa, TZ yetu Mzungu ameanza kuchukuwa resources in the 90's lkn Kenya Mzungu anaiba kwa miaka zaido ya 100!
Ukija kwenye tourism industry ndiyo usiseme, Lamu na Malindi yote ni mali ya Mzungu hata kupata kazi unatakiwa ujue Kiitaliano, beach na visiwa vyote Mzungu amechukuwa, swala la ardhi hapo pia Mzungu anamiliki sehemu kubwa sana ya Kenya's most fertile land huko Rift valley, hivyo kaa kimya kabisa, TZ yetu bado sehemu kubwa sana ni virgin hata madini bado mengi hayajaguswa ...
kwa hivyo kulingana na wewe, magadi soda ina dhamani kuliko almasi au dhahabu??
Ukisoma habari yote utaona kwamba sijaongelea kuhusu Magadi soda tu, bali nimeongelea Rasilimali nyingi sana za Kenya ambazo zinamilikiwa na Wazungu, kwa kifupi nilichotaka kusema Kenya haiwezi kuicheka TZ kwamba inaibiwa Rasimilimali zake kwani wote wawili Watz na Wakenya tunaibiwa Raisilimali zetu na Wazungu na hakuna aliye bora klk mwingine!
Huwa nafikri kuwa hii access inakuwa abused. ila kwa faida ya mwenye jf inaendelea kuwepo. Mnatukana sana hamna staha.Endelea kujifariji!
Huwa nafikri kuwa hii access inakuwa abused. ila kwa faida ya mwenye jf inaendelea kuwepo. Mnatukana sana hamna staha.
Ukisoma habari yote utaona kwamba sijaongelea kuhusu Magadi soda tu, bali nimeongelea Rasilimali nyingi sana za Kenya ambazo zinamilikiwa na Wazungu, kwa kifupi nilichotaka kusema Kenya haiwezi kuicheka TZ kwamba inaibiwa Rasimilimali zake kwani wote wawili Watz na Wakenya tunaibiwa Raisilimali zetu na Wazungu na hakuna aliye bora klk mwingine!
kitu gani kipo Tanzania hakipo Kenya,?Rasilimali gani mkuu, shamba? unamaanisha Tanzania hakuna holdings kubwa zimeshikwa na wachina ama waarabu? tusemezane ukweli aise, upande wa Rasilimali, tanzania huwezi linganisha, hata siku moja, na Kenya, you are blessed, lakini faida kwa raia wa kawaida hakuna kabisa.
Rasilimali gani mkuu, shamba? unamaanisha Tanzania hakuna holdings kubwa zimeshikwa na wachina ama waarabu? tusemezane ukweli aise, upande wa Rasilimali, tanzania huwezi linganisha, hata siku moja, na Kenya, you are blessed, lakini faida kwa raia wa kawaida hakuna kabisa.
Huwa nafikri kuwa hii access inakuwa abused. ila kwa faida ya mwenye jf inaendelea kuwepo. Mnatukana sana hamna staha.
Ww akili una tulizani tuna anzisha EAC ili kukabiliana na world order uchwara kumbe siyo sasa tulianzisha EAC ili iweje kama siyo kupambana na ukoloni mamboleo kweli EAC is a next stupidHahahahaha!....hamtoboi...hamna lolote hata mkijibox kama kisiwa!..duniani kuna kiitwacho world order, mngekuwa na akili mgeifuata huku mkifanikisha malengo yenyu!
Misaada yote hata watakata EU na Marekani,bidhaa zenyu mkaziuze China...haahahaha!
Mtarudi mmoja mmoja tu!
Ulaya na Marekani nadhani wako makini hii kitu ivunjike!Nadhani hili ndio suala litalovunja EAC, kama Kenya ikiendelea na EPA peke yake itaathiri umoja wa ushuru wa forodha wa pamoja, next move Tz itaanza kupiga kodi kwa bidhaa yoyote ya Kenya inayohisi ni imetokea EU.
Wewe, stop summarising things, yes kenya highlands ni one of the most fertile lands.... lakini its only 8% ya total land mass ya kenya.... kenya arable land is 15% ya total land!!!!!! hapo ndo vyakula vingi vinavyo tegemea mvua ndo hutoka.....Kila kitu ni relative, hata Kenya ina Rasilimali nyingi sana tu sema labda haufahamu, hakuna nchi ya Kiafrika isiyo na Rasilimali, hata Rwanda yenyewe ambayo ni moja kati ya natural resource poor countries hapa Afrika lkn bado wana rare earth minerals deposit kama coltan, Wolfram kubwa tu, wana methane n.k.
Hivyo usijidanganye na kutaka kutafuta visingizio, Kenya ina kila kitu cha kuifanya iwe nchi tajiri sana hapa Duniani!
Rift Valley ya Kenya ni one of the most fertile regions in Afrika, lkn bado Kenya kuna uhaba wa chakula, people are starving kwa kukosa chakula cha kutosha, kwa nini?
Wewe, stop summarising things, yes kenya highlands ni one of the most fertile lands.... lakini its only 8% ya total land mass ya kenya.... kenya arable land is 15% ya total land!!!!!! hapo ndo vyakula vingi vinavyo tegemea mvua ndo hutoka.....
hizi links mbili zita summarize vizuri
Economy of Kenya - Wikipedia, the free encyclopedia
The agricultural sector continues to dominate Kenya's economy, although only 15 percent of Kenya's total land area has sufficient fertility and rainfall to be farmed, and only 7 or 8 percent can be classified as first-class land
---------
Uganda labour productivity closing in on Kenya’s
“Kenya’s agricultural sector is more than twice as productive as any other EAC partner state,” the report reads.
Kenya also leads in several measures of human capital, including literacy rates, primary completion rates and the proportion of firms offering formal training.
-----------------
hio inamaansha tukipewa shamba lenye ukubwa sawa, mkenya atavuna mara mbili zaidi kuliko mtz au mUG. Lakini vile dunia si sawa, sisi kebya tulipewa asilimia 15% pa kulima kutegemea mvua, ndo maana sikuhizi tunaangalia mambo ya irrigation, galana irrigation scheme inaongoza, miaka 5 badae utaona mambo. compared to Tz, arable land yenu ni kubwa, hata mkiwa twice less productive bado mnatoa chakula cha kutosha... alafu etu ndo mnaringa ringa hapa. nkt!