EU 'will agree terms' with Kenya if other EAC countries reject EPA deal

Barbarosa i told you i will never engage you!! You are never rational in any of your posts ....keep the distance

Hilo ni chaguo lako
, mimi najibu hoja yoyote na ya mtu yoyote yule maadamu JF inaniruhusu kufanya hivyo, hivyo kama wewe unatatizo na mimi, well siwezi kukusadia, unachoweza kukifanya labda ni kunipotezea tu, baadhi hufanya hivyo yaani hunipotezea tu na hainisumbui, lkn huweni kunizuia nisiandike ninachotaka kuandika mwenye huo uwezo ni Moderators wa JF tu, isitoshe haunifahamu na mimi sikufahamu hivyo nashangaa sana unaposema hauwezi kuengage na mimi!
 
Barbarosa i told you i will never engage you!! You are never rational in any of your posts ....keep the distance
chipsi mayai wameongeza bei. hivi huoni mjamaa ana njaa, ata engage vipi na tumbo/debe empty. tumchangie angalau ale kitu cha kujifariji leo.
 
Barbarosa i told you i will never engage you!! You are never rational in any of your posts ....keep the distance

Dude is talking about Magadi soda contracts whereas they are one of the largest producers of precious stones in the world with nothing to show of it. NOTHING. It's honestly sad when you think about it, nani atawaokoa?
 
Hata Kenya pia wamesaini mining contracts nyingi tu na Wazungu ambapo nchi ya Kenya haipati chochote zaidi royalties, tena Kenya Wazungu ndiyo wamekuwa wakiiba rasilimali since beginning of time, Mzungu anachukuwa magadi soda kwa miaka zaidi ya 100 ktk Kenya bila kulipia chochote, Titanium inachimbwa Kenya kwa miaka mingi hakuna kitu Mzungu analipa, TZ yetu Mzungu ameanza kuchukuwa resources in the 90's lkn Kenya Mzungu anaiba kwa miaka zaido ya 100!

Ukija kwenye tourism industry ndiyo usiseme, Lamu na Malindi yote ni mali ya Mzungu hata kupata kazi unatakiwa ujue Kiitaliano, beach na visiwa vyote Mzungu amechukuwa, swala la ardhi hapo pia Mzungu anamiliki sehemu kubwa sana ya Kenya's most fertile land huko Rift valley, hivyo kaa kimya kabisa, TZ yetu bado sehemu kubwa sana ni virgin hata madini bado mengi hayajaguswa ...
kwa hivyo kulingana na wewe, magadi soda ina dhamani kuliko almasi au dhahabu??
 
Ukisoma habari yote utaona kwamba sijaongelea kuhusu Magadi soda tu, bali nimeongelea Rasilimali nyingi sana za Kenya ambazo zinamilikiwa na Wazungu, kwa kifupi nilichotaka kusema Kenya haiwezi kuicheka TZ kwamba inaibiwa Rasimilimali zake kwani wote wawili Watz na Wakenya tunaibiwa Raisilimali zetu na Wazungu na hakuna aliye bora klk mwingine!
 
Endelea kujifariji!
 
Huwa nafikri kuwa hii access inakuwa abused. ila kwa faida ya mwenye jf inaendelea kuwepo. Mnatukana sana hamna staha.

wewe unaona wakenya peke yao ndio wanatukana? hauoni matusi zinaanzwa na ndugu zako wastaarabu na wenye staha, potelea mbali hauna jipya.
 
Ukisoma habari yote utaona kwamba sijaongelea kuhusu Magadi soda tu, bali nimeongelea Rasilimali nyingi sana za Kenya ambazo zinamilikiwa na Wazungu, kwa kifupi nilichotaka kusema Kenya haiwezi kuicheka TZ kwamba inaibiwa Rasimilimali zake kwani wote wawili Watz na Wakenya tunaibiwa Raisilimali zetu na Wazungu na hakuna aliye bora klk mwingine!

Rasilimali gani mkuu, shamba? unamaanisha Tanzania hakuna holdings kubwa zimeshikwa na wachina ama waarabu? tusemezane ukweli aise, upande wa Rasilimali, tanzania huwezi linganisha, hata siku moja, na Kenya, you are blessed, lakini faida kwa raia wa kawaida hakuna kabisa.
 
kitu gani kipo Tanzania hakipo Kenya,?
 
Rasilimali gani mkuu, shamba? unamaanisha Tanzania hakuna holdings kubwa zimeshikwa na wachina ama waarabu? tusemezane ukweli aise, upande wa Rasilimali, tanzania huwezi linganisha, hata siku moja, na Kenya, you are blessed, lakini faida kwa raia wa kawaida hakuna kabisa.

Kila kitu ni relative, hata Kenya ina Rasilimali nyingi sana tu sema labda haufahamu, hakuna nchi ya Kiafrika isiyo na Rasilimali, hata Rwanda yenyewe ambayo ni moja kati ya natural resource poor countries hapa Afrika lkn bado wana rare earth minerals deposit kama coltan, Wolfram kubwa tu, wana methane n.k.
Hivyo usijidanganye na kutaka kutafuta visingizio, Kenya ina kila kitu cha kuifanya iwe nchi tajiri sana hapa Duniani!

Rift Valley ya Kenya ni one of the most fertile regions in Afrika, lkn bado Kenya kuna uhaba wa chakula, people are starving kwa kukosa chakula cha kutosha, kwa nini?
 
Huwa nafikri kuwa hii access inakuwa abused. ila kwa faida ya mwenye jf inaendelea kuwepo. Mnatukana sana hamna staha.

Matusi yapo wapi hapo?.....halafu weye ndiye mmiliki wa mtandao(internet)?.....teteteh!
 
Hahahahaha!....hamtoboi...hamna lolote hata mkijibox kama kisiwa!..duniani kuna kiitwacho world order, mngekuwa na akili mgeifuata huku mkifanikisha malengo yenyu!
Misaada yote hata watakata EU na Marekani,bidhaa zenyu mkaziuze China...haahahaha!
Mtarudi mmoja mmoja tu!
Ww akili una tulizani tuna anzisha EAC ili kukabiliana na world order uchwara kumbe siyo sasa tulianzisha EAC ili iweje kama siyo kupambana na ukoloni mamboleo kweli EAC is a next stupid
 
Nadhani hili ndio suala litalovunja EAC, kama Kenya ikiendelea na EPA peke yake itaathiri umoja wa ushuru wa forodha wa pamoja, next move Tz itaanza kupiga kodi kwa bidhaa yoyote ya Kenya inayohisi ni imetokea EU.
Ulaya na Marekani nadhani wako makini hii kitu ivunjike!
 
Kila kitu ni relative, hata Kenya ina Rasilimali nyingi sana tu sema labda haufahamu, hakuna nchi ya Kiafrika isiyo na Rasilimali, hata Rwanda yenyewe ambayo ni moja kati ya natural resource poor countries hapa Afrika lkn bado wana rare earth minerals deposit kama coltan, Wolfram kubwa tu, wana methane n.k.
Hivyo usijidanganye na kutaka kutafuta visingizio, Kenya ina kila kitu cha kuifanya iwe nchi tajiri sana hapa Duniani!

Rift Valley ya Kenya ni one of the most fertile regions in Afrika, lkn bado Kenya kuna uhaba wa chakula, people are starving kwa kukosa chakula cha kutosha, kwa nini?
Wewe, stop summarising things, yes kenya highlands ni one of the most fertile lands.... lakini its only 8% ya total land mass ya kenya.... kenya arable land is 15% ya total land!!!!!! hapo ndo vyakula vingi vinavyo tegemea mvua ndo hutoka.....

hizi links mbili zita summarize vizuri

Economy of Kenya - Wikipedia, the free encyclopedia
The agricultural sector continues to dominate Kenya's economy, although only 15 percent of Kenya's total land area has sufficient fertility and rainfall to be farmed, and only 7 or 8 percent can be classified as first-class land

---------

Uganda labour productivity closing in on Kenya’s

“Kenya’s agricultural sector is more than twice as productive as any other EAC partner state,” the report reads.
Kenya also leads in several measures of human capital, including literacy rates, primary completion rates and the proportion of firms offering formal training.

-----------------

hio inamaansha tukipewa shamba lenye ukubwa sawa, mkenya atavuna mara mbili zaidi kuliko mtz au mUG. Lakini vile dunia si sawa, sisi kebya tulipewa asilimia 15% pa kulima kutegemea mvua, ndo maana sikuhizi tunaangalia mambo ya irrigation, galana irrigation scheme inaongoza, miaka 5 badae utaona mambo. compared to Tz, arable land yenu ni kubwa, hata mkiwa twice less productive bado mnatoa chakula cha kutosha... alafu etu ndo mnaringa ringa hapa. nkt!
 
EU wameshasikia Mpango wa JPM kufufua uchumi wa Viwanda wakaambizana huyu jamaa hatakiwi kukua twende na plan hii ya EPA ili walete mitumba yao huku bila kutozwa kodi halafu sisi tukawauzie pumba ya nguruwe, basi sawa nyie nyang'au endeleeni kuuza maua,tutaona sie tuta trade na partners wa ukweli wiki ijayo Makamu wa Rais wa Cuba anakuja TZ tuongee nae kuhusu deal za viwanda, China tupo nae na tushaanza kujenga viwanda kwa kuanza na kiwanda kikubwa cha chuma EAC tunakamilisha kiwanda cha viwatilifu hapo kati nk nk shida Kenya wanapenda kusifiwa na wazungu...mkalage baho shauri ya kutaka sifa na mngoje ATCL iwe full operational siku chache zijazo lazima mtanyooka.Samahani kama nimewakwaza
 
Wewe, stop summarising things, yes kenya highlands ni one of the most fertile lands.... lakini its only 8% ya total land mass ya kenya.... kenya arable land is 15% ya total land!!!!!! hapo ndo vyakula vingi vinavyo tegemea mvua ndo hutoka.....

hizi links mbili zita summarize vizuri

Economy of Kenya - Wikipedia, the free encyclopedia
The agricultural sector continues to dominate Kenya's economy, although only 15 percent of Kenya's total land area has sufficient fertility and rainfall to be farmed, and only 7 or 8 percent can be classified as first-class land

---------

Uganda labour productivity closing in on Kenya’s

“Kenya’s agricultural sector is more than twice as productive as any other EAC partner state,” the report reads.
Kenya also leads in several measures of human capital, including literacy rates, primary completion rates and the proportion of firms offering formal training.

-----------------

hio inamaansha tukipewa shamba lenye ukubwa sawa, mkenya atavuna mara mbili zaidi kuliko mtz au mUG. Lakini vile dunia si sawa, sisi kebya tulipewa asilimia 15% pa kulima kutegemea mvua, ndo maana sikuhizi tunaangalia mambo ya irrigation, galana irrigation scheme inaongoza, miaka 5 badae utaona mambo. compared to Tz, arable land yenu ni kubwa, hata mkiwa twice less productive bado mnatoa chakula cha kutosha... alafu etu ndo mnaringa ringa hapa. nkt!

Sasa 15% haitoshi kuzalisha chakula cha kutosha kwa watu chini ya milioni 45? Mbona ni ardhi kubwa sana kama Kenya ingekuwa ni productive society kama unavyojaribu kuamunisha hapa, Leo hii ingekuwa ni bread basket ya Afrika, lkn watu wanakufa njaa Kenya ingawaje kuna mito mikubwa, hata Turkana yenyewe ina mto Tana ambayo haukauki maji mwaka mzima, sasa ni kwanini kuna hunger kama kweli Kenya productive? Kwa nini hawatumii mito kulima chakula cha kutosha?
 
Congrats
Though I have to say this will deal a crippling blow to the East African Customs Union.
And i believe the customs union and the common market are the two engines keeping the EAC going right now.
Wakenya tamaa zenu zitatuulia ushirikiano wetu.
 
Smatta the OG. achana these people.

They are saying the same shit they have been saying since 2009. Nothing ever changes.

kenya Is still the highest progressive economy in the region.

Let these fruities talk....they aint stopping anything.
 
Back
Top Bottom