EU Yaionya Serikali ya Kenya Kuhusu Wizi wa Kura

Tanzania tuna takribani makabila 126, mpaka sasa tuna marais watano (5) kutoka makabila matano tofauti.
5/126 of 100 =4.17 % Tz

2/44 of 100 =4.5 % Kenya

I see no much difference in representation of tribes.
 
Bowie,

Provide a source of your thread please.
Such piece of information is very sensitive.
 
5/126 of 100 =4.17 % Tz

2/44 of 100 =4.5 % Kenya

I see no much difference in representation of tribes.
Wee jamaa michango yako ya karibuni imefanya nikujue kua hata secondary cjui ka umefikaa ...huna akili bro reasoning yako iko kwenye negative ngap cjui
 
5/126 of 100 =4.17 % Tz

2/44 of 100 =4.5 % Kenya

I see no much difference in representation of tribes.
Oh there is a big difference! Having two presidents from the same family in such a short period of time is disgusting.
 
Tanzania tuna takribani makabila 126, mpaka sasa tuna marais watano (5) kutoka makabila matano tofauti.
5/126 of 100 =4.17 % Tz

2/44 of 100 =4.5 % Kenya

I see no much difference in representation of tribes.
Nchi mnazo dai kukomboa zimewapita kiuchumi kwa mfano:
Zambia - GDP $20b with a population of 16 million.

SA - GDP $288b with a population of 53 million

Zimbabwe - GDP $16 b with a population of 16 million

Mozambique GDP $12 b with a population of 25 million

Namibia GDP $10 b with a population of 2 million

Kenya GDP $78 b with a population of 40 million

TANZANIA GDP$40 B WITH A HUGE PEASANT POPULATION OF 56 FUCKIN MILLION.
 
CCM only kama haupo hapo, kiti cha Urais sahau.
 
Ninyi wakenya ndiyo sababu hamtokaa muwe na amani maishani mwenu, ndiyo sababu mnauwana kama wanyama, ninyi hamjui utu, kwenu ninyi kila kitu ni uchumi tu, hamthamini ubinadamu kabisa, ninyi ni wanyama tena wa mwituni kabisa, sasa ninyi mliokataa kusaidia ukombozi, mbona leo hii mnabembeleza muende South Africa bila visa?. Ninyi mliojifanya mpo busy kujenga uchumi mbana tumewapita katika mambo mengi ya maendeleo?, mbona bado mna njaa na hadi leo mnategemea chakula cha msaada?
 
Mwalimu mzuri huwa anataka mwanafunzi wake afaulu zaidi yake!
 
5/126 of 100 =4.17 % Tz

2/44 of 100 =4.5 % Kenya

I see no much difference in representation of tribes.

The best statement could've been, "There's no difference in presentation of tribes".

Since there's a different that you claim to be slight, please note it and find out why it exists.
 
The best statement could've been, "There's no difference in presentation of tribes".

Since there's a different that you claim to be slight, please note it and find out why it exists.
Begin with your own first as I deal with mine.
 
Kwani ni uongo kuhusu SHITHOLE trump is very right mfano Kenya makikuyu yaliiba kura baada ya kumuua msando then mahakama ikashtuka ikafuta matokeo.... Cha kushangaza no reforms were made then wapinzani wakasusa instead of kenyatta reconciling he went on to contest alone!!! Hivi mkiitwa shithole ni uongo???

Hawakutaja wakikuyu ila we all know how they control kenya from the background.... Hakuna mtu anaweza kuwa Rais kenya kama wakikuyu hawamtaki maana uchumi wote upo mikononi mwa makikuyu!!!

Nachoweza kusema endeleeni na ubaguzi tu na kuona wajaluo kma vile hawana haki ya kuongoza kenya ila mtavuna mlichopanda.... And one message to Ruto aendelee kutumika tu ila ajue WAKIKUYU will never allow him to be the President.... Wanamuandaa Gideon moi to head the kikuyu-controlled goverment in 2022 as their puppet ila Ruto hatokaa awe Rais wa kenya God willing 2022 utakuja kuquote hii comment na kuelewa which kind of people kikuyus are!!
 
Jibu ushapata hayo mengine umeandika baada ya hapo ni kutapatapa.
We naye reasoning yako cjui ikoje kusema sio lazima lakini haimaanishi hakuna kabila dogo limeshika nchi.... Kikwete katoka kabila dogo sana ila alishinda urais but kenya kma hutokei ukambani ujaluoni mulembe au uthamaki na wakalenjin basi huwezi ukawa Rais wa kenya kma nadanganya niambie who among big political parties au white house in kenya kwenye history imewahi ongozwa na mtu nje ya hizo big 5???
 
Mkapa na Mzee Mwinyi hawajulikani ni kabila gani, Nyerere ni mzanaki, idadi ya wazanaki sina uhakika kama inazidi laki 5
 
Kwani ni uongo kuhusu SHITHOLE trump is right Hivi Tanzania mkiitwa shithole ni uongo???
!!
"makikuyu yaliiba kura ". Hivi utasema Wewe siyo mkabila baada ya kutumia maneno kama hayo kwa watu ambao hawajakukosea kwa vyovyote vile?
 
Wee jamaa michango yako ya karibuni imefanya nikujue kua hata secondary cjui ka umefikaa ...huna akili bro reasoning yako iko kwenye negative ngap cjui
Ndiyo sababu yako kuu kunifata fata humu?
 
"makikuyu yaliiba kura ". Hivi utasema Wewe siyo mkabila baada ya kutumia maneno kama hayo kwa watu ambao hawajakukosea kwa vyovyote vile?
Nimezaliwa kenya so najua nachosema.... Nmefuatilia siasa za huko toka enzi za kina matiba nikiwa mdogo sana..... Hawa wakikuyu huwa wanataka kulinda utajiri wao hasa ardhi na biashara zao hivyo wanaogopa kabila jingine likija litakata mirija yao yote ya pesa na biashara ndio maana wanasemaga eti wanahaki ya kutawala kenya kisa MAU MAU ilianzishwa na wakikuyu!!!

Kama wwe unaishi kenya utaelewa kabisa hta serikalini makabila mawili tu ndio yametawala nafasi zote..... Sasa kwa siasa hizo za kikabila nikisema wazi mie ndio nakuwa mkabila?? Wakamba waluhya wajaluo wamesahaulika kisa tu hawako jubilee je hyo ndio kenya mnayotaka kuijenga???

Sasa nasema hivi dawa yenu wakikuyu ipo siku moja tu mtavuna mlichopanda.... Inaonekana 2007 hamkushika adabu yenu pale ruto alipowachoma moto wakikuyu kwenye makanisa huko rift valley na kuwachinja kma kuku.... But siku moja chuki za kikabila zikivuma sana mtakuja kujuta maana uchumi wote mnaoringia utakuja poromoka kma nyumba ya mchanga!!!

Yangu macho
 
Ulizaliwa Kenya pande gani?
 
Ni sawa na kuniambia hamna mtu ashawahi ongoza Tz outside Chama tukufu cha CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…